nemulo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,589
- 441
Hiyo ni pic ya mkuu wa wilaya ya mufindi mkuu
Akyamungu? Nitumie no. Au chakula ya mkubwa?
Hiyo ni pic ya mkuu wa wilaya ya mufindi mkuu
Akyamungu? Nitumie no. Au chakula ya mkubwa?
Oeni aisee/kuweni na wachumba. Singleness Inawagharimu mno.
Kwa upande wangu ni kweli kabisa.
Mwezi uliopita alikuja girlfrind wangu akakaa wiki 2.
Nimeangalia matumizi niliotumia na ambayo huwa natumia nikiwa peke yangu nimegundua nikiwa peke yangu nina matumizi makubwa kuliko akiwepo girlfriend.
Ila hiyo sio sababu ya kumfanya mtu aoe,kuoa ni issue nyingine.
Kuoa mapema ni uoga wa kutongoza na kuhonga
kwa iyo ukiwa peke yako ........kwa mfano huwa unakula milo mi 3,ila akija dem wako mnakula mlo 1!!....
ingine ni misemo tu wala haipo realistic....
Teh! get in engagement aisee. Sio namna hiyo.
Apana mkuu. Ukiwa na partner (eg.ghetto), hata ule milo kumi per day, ni tofauti kula elsewhere mighahawani.
Utofauti unakuja kwenye Kias cha pesa utakachokitumia na kwenye Ladha ya chakula(test & deliciousness).
Mfano; mghahawani waweza piga wali kuku kwa 5000/=(single meal) hapo hujanywa maji e.t.c, lakini binti akaweza kuitumia pesa hiyo kutengeneza menu la siku nzima(hadi na chai ya kesho).
Umejibu vyema kaka,kwa mfano mimi matumia 15000/= kwa siku kwa chakula tu,kwa wiki ni 105000/= alipokuja girlfriend wangu nikajikuta natumia kama 70000/= per week huku nikiwa nakula chakula kile kile kama nachokula mgahawani na chenji kubaki.
Sinui una umri gan.Lakini kwa maelezo yako,unapaswa kuwashauri zaid vijana waoe/waolewe ili kufanya "econimic balance" nzuri.
Kichwa Ndio Mtu