Haaaa! Kuna wadada waoga

Haaaa! Kuna wadada waoga

Miaka mitatu iliyopita nilikuwa nimepanga chumba mitaa Tabata kipindi nipo chuo,basi bwana kwenye hiyo nyumba kulikuwepo na mpangaji mwenzagu, Dada mmoja mzuri tu,alikuwa anauza duka la madawa Kariakoo,

Kutokana kwamba nilikuwa na mtu wangu ambaye alikuwa anakuja getto mara kwa mara,sikuwahi kumshobokea zaidi ya salamu tu,pia huwa sipendi kuwa na mchepuko maeneo yaliyo karibu na ninapoishi,

Basi ,siku moja nipo peke yangu ndani napiga msuli mida kama ya saa 5 usiku, nikasikia mlango ukigongwa ,akiri ikanituma kuwa baby wangu ameamua kuja bila taarifa,lahasha! kufunguo mlango namuona yule Dada mpangaji mwenzangu ,nikamuuliza vipi ?,huwezi kuamini Dada akashikwa na kigugumizi daah mpaka nikamuonea huruma,yaani nikaona kama anahangaika sana,nilichofanya nikamshika mkono then nikamwambia nifate huku,nikatoka nae nje kulikuwepo na mabenchi chini ya miti,lengo la kufanya hivyo ni kumpunguzia presha,baada ya dakika 2 ndo nikamuuliza vipi ulikuwa na shida gani? akanijibu anaomba nimpatie computer akaangalie movies ,OK tukarudi ndani nikampatia ,

Mpaka leo huwa najiuliza kwanini alipatwa na kigugumizi wakati huwa anaongea kawaida tu,au alijifikiria nini?

Ujumbe,wadada punguzeni uoga kwa wanaume tulio serious,
Hebu fafanua mkuu, ni computer hii hii tunayoijua yenye cpu au ingine?
 
Kujihisi kubaya sana. Wako wanawake ambao hawajitambui kama maumbile yao huleta mgogoro kwa wanaume. Mathalani, wako wale ambao kuvaa dressing night, iliyo wazi au kanga moja, au tight wao ni sawa tu. Ofcoarse ni kama watoto wasiolewa miili yao (ingawa si wote).......nyie mkikutana na wenye macho ya kurembua mtabaka hahahaha!
 
Hahaa ni kweli mkuu,angevaa kanga moko ningeelewa,tatizo alikuja kavaa kama anaenda church nikafikir labda kaingiliwa na panya au nyoka ndani kwake
 
mecheka
Kuna mkaka jirani yangu nae ukiwa unaongea nae mara alambe lips, halafu anajipenda sana
Nilichoka anapoanza kuchat anaweza nitumia " niache bab eeh
Au emoj za
Wanaume wa siku hizi mmmh
Usitujuamuishe tafadhali. Kwanini umefunga PM kulikoni?
 
Kuna sku npo ghetto kama saa 4,demu mmoja mpangaj mwenzangu akaja kuniambia usiku mwema Fulani, wakat alkuwa hanaga kawaida ya kufanya hvo,afu alkuja na nguo ya kulalia,nkaitikia usku mwema pia,akaondoka kwenda kulala,nazan aliniona boya alitegemea maongez zaidi
Hufai
 
mecheka

Kuna mkaka jirani yangu nae ukiwa unaongea nae mara alambe lips, halafu anajipenda sana

Nilichoka anapoanza kuchat anaweza nitumia " niache bab eeh

Au emoj za

Wanaume wa siku hizi mmmh
Diana balaa lako kubwa sana, Mungu tu akuzidishie.
 
hivi we unadhani wewe na yeye nani ayupo serious ?? sawa lakini

"labda sijakuelewa "
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom