mwanaume gani anatumia hilo neno? we ni dem acha kuzuga na kama sio dem bas una tabia za kidem dem.

mecheka

Basi *buana* ndio nini? Au mwenzetu sio riziki?Miaka mitatu iliyopita nilikuwa nimepanga chumba mitaa Tabata kipindi nipo chuo,basi buana kwenye hiyo nyumba kulikuwepo na mpangaji mwenzagu, Dada mmoja mzuri tu,alikuwa anauza duka la madawa Kariakoo,
Kutokana kwamba nilikuwa na mtu wangu ambaye alikuwa anakuja getto mara kwa mara,sikuwahi kumshobokea zaidi ya salamu tu,pia huwa sipendi kuwa na mchepuko maeneo yaliyo karibu na ninapoishi,
Basi ,siku moja nipo peke yangu ndani napiga msuli mida kama ya saa 5 usiku, nikasikia mlango ukigongwa ,akiri ikanituma kuwa baby wangu ameamua kuja bila taarifa,lahasha! kufunguo mlango namuona yule Dada mpangaji mwenzangu ,nikamuuliza vipi ?,huwezi kuamini Dada akashikwa na kigugumizi daah mpaka nikamuonea huruma,yaani nikaona kama anahangaika sana,nilichofanya nikamshika mkono then nikamwambia nifate huku,nikatoka nae nje kulikuwepo na mabenchi chini ya miti,lengo la kufanya hivyo ni kumpunguzia presha,baada ya dakika 2 ndo nikamuuliza vipi ulikuwa na shida gani? akanijibu anaomba nimpatie computer akaangalie movies ,OK tukarudi ndani nikampatia ,
Mpaka leo huwa najiuliza kwanini alipatwa na kigugumizi wakati huwa anaongea kawaida tu,au alijifikiria nini?
Ujumbe,wadada punguzeni uoga kwa wanaume tulio serious,
Kwani umeshindwa kuedt mpaka uzalishe mjadala huu??Typing error mkuu
Kuna dingi humu nae aliandikaga inahuu,nikamwambia aache, nitabia za kike

Alinizidi miaka takribani sita,then niliogopa kuoa mapema,najua tungefika mbali sana
Sawa mkuuMimi sipo hivyo,I'm real men

kisicho riziki hakiliki
Basi *buana* ndio nini? Au mwenzetu sio riziki?

Hapana mkuu,ni degree holder tena ya miaka 5
Dah! Kweli tunadharaulika kutokana na wenzetu wachache! Sasa ndio nini hiki? Badala ya kuingia nae ndani kumpa kimoja cha fasta umetoka nae nje wakati mtu mwenyewe ni muuzaji wa dawa, kwani inamaana hajui dawa za kushusha presha?Miaka mitatu iliyopita nilikuwa nimepanga chumba mitaa Tabata kipindi nipo chuo,basi bwana kwenye hiyo nyumba kulikuwepo na mpangaji mwenzagu, Dada mmoja mzuri tu,alikuwa anauza duka la madawa Kariakoo,