Haaaa! Kuna wadada waoga

Haaaa! Kuna wadada waoga

mi nikajua labda kaingia nyoka kwake kwahiyo alikuja kwako kuomba msaada. mtu unampenda ndo unakuwa na kigugumizi mhh 🤔
 
Wanaume wa dar hapo ndio mnakwama....SAA tano akaangalue movie naww umekubali kabisa hilo jibu....heheheeee
 
Basi ,siku moja nipo peke yangu ndani napiga msuli mida kama ya saa 5 usiku, nikasikia mlango ukigongwa ,akiri ikanituma kuwa baby wangu ameamua kuja bila taarifa,lahasha! kufunguo mlango
Kwa kutumia akili ndogo. Wewe unaweza kumuomba mwanamke computer uangalie movie kwa muda huo? Kijana ulifeli mtihani
Mwanamke anatumia body language zaidi kueleza hisia zake. Katika wanawake 100 watakaokutamkia wanakupenda ni 1 au 2. Kwanza mwenyewe alishangaa ndiyo maana alibaki anababaika. Tafuna ujenge urafiki. Ukitafuna wanawake wengi hata siku unakutana nao unaaslimia kubwa sana ya kupewa mechi hata kama atakuwa ni mke wa mtu.
UMENIANGUSHA SANA
 
Mkuu kwanza huna wema hata kidogo,mtoto wa kike kaja kwako saa tano usiku bila huruma unampeleka kwenye miti ,sijui benchi,kweli?kwani ungemkaribisha ndani unahisi asingekwambia kilichomleta kwako?sasa umempeleka kwenye miti mpaka papuchi ikasinyaa unadhani atakwambia mini zaidi ya kuomba computer au charge, na utaombwa mpaka chanuo mkuu,alikudhalau sana,
Ulipata hata fursa ya kumpa namna ya matumizi ya kifaa chako,so sad
 
Kwa kutumia akili ndogo. Wewe unaweza kumuomba mwanamke computer uangalie movie kwa muda huo? Kijana ulifeli mtihani
Mwanamke anatumia body language zaidi kueleza hisia zake. Katika wanawake 100 watakaokutamkia wanakupenda ni 1 au 2. Kwanza mwenyewe alishangaa ndiyo maana alibaki anababaika. Tafuna ujenge urafiki. Ukitafuna wanawake wengi hata siku unakutana nao unaaslimia kubwa sana ya kupewa mechi hata kama atakuwa ni mke wa mtu.
UMENIANGUSHA SANA
Aisee,asante kwa ushauri
 
Nia yake ni kuingizwa ndani ghetto ila Jamaa kamkosea akamtoa Nje kwenye mti
Huyo genye zilimsumbua akaona potelea mbali ngoja nirisk lakini mipango ikabaunce
Angeshika mkono tu kuvuta Ndani alikuwa amesharowa kabisa
Hapa kazi tu
Sio kila chakula chafaa kuliwa,
 
  • Thanks
Reactions: J C
Yaani mkuu alikudharau sana. Kweli kabisa we unahisi shida yake ilikuwa computer saa 5 usiku?

Bora hiki kisa usingekisema kimechafua taswira yako mkuu
Hapana mkuu,niliogopa kumvunjia heshima,alikuwa aged than me
 
Hapana mkuu,niliogopa kumvunjia heshima,alikuwa aged than me
Angekuwa hivyo asingekuja kwako. Alijua unaweza kumsaidia na ndio maana akakuamini kuja kwako usiku saa 5. Unaogopa kumvunjia heshima wakati yeye hakuogopa kuvunjiwa heshima?
 
Aisee,basi starudia tena kufanya mistake kama hii
Angekuwa hivyo asingekuja kwako. Alijua unaweza kumsaidia na ndio maana akakuamini kuja kwako usiku saa 5. Unaogopa kumvunjia heshima wakati yeye hakuogopa kuvunjiwa heshima?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom