moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,354
- 5,006
Miaka mitatu iliyopita nilikuwa nimepanga chumba mitaa Tabata kipindi nipo chuo,basi bwana kwenye hiyo nyumba kulikuwepo na mpangaji mwenzagu, Dada mmoja mzuri tu,alikuwa anauza duka la madawa Kariakoo,
Kutokana kwamba nilikuwa na mtu wangu ambaye alikuwa anakuja getto mara kwa mara,sikuwahi kumshobokea zaidi ya salamu tu,pia huwa sipendi kuwa na mchepuko maeneo yaliyo karibu na ninapoishi,
Basi ,siku moja nipo peke yangu ndani napiga msuli mida kama ya saa 5 usiku, nikasikia mlango ukigongwa ,akiri ikanituma kuwa baby wangu ameamua kuja bila taarifa,lahasha! kufunguo mlango namuona yule Dada mpangaji mwenzangu ,nikamuuliza vipi ?,huwezi kuamini Dada akashikwa na kigugumizi daah mpaka nikamuonea huruma,yaani nikaona kama anahangaika sana,nilichofanya nikamshika mkono then nikamwambia nifate huku,nikatoka nae nje kulikuwepo na mabenchi chini ya miti,lengo la kufanya hivyo ni kumpunguzia presha,baada ya dakika 2 ndo nikamuuliza vipi ulikuwa na shida gani? akanijibu anaomba nimpatie computer akaangalie movies ,OK tukarudi ndani nikampatia ,
Mpaka leo huwa najiuliza kwanini alipatwa na kigugumizi wakati huwa anaongea kawaida tu,au alijifikiria nini?
Ujumbe,wadada punguzeni uoga kwa wanaume tulio serious,