Haaa de libolo oye!!!!!

Azam wanaangalia mbali tofauti na Simba na Yanga wao wanachoangalia ni kufangana wao kwa wao tu. Utashangaa Simba pamoja na kusua sua kwake ikifika muda wa kucheza na Yanga inacheza kwa juhudi na kushinda. Simba kwanini mnanitesa lakini?
simba na yanga ni siasa.ukiona mtu anakuwa kiongozi wa izi timu ujue anataka kugombea ubunge ccm
 
Azam wanaangalia mbali tofauti na Simba na Yanga wao wanachoangalia ni kufangana wao kwa wao tu. Utashangaa Simba pamoja na kusua sua kwake ikifika muda wa kucheza na Yanga inacheza kwa juhudi na kushinda. Simba kwanini mnanitesa lakini?

Yanga is the big Libolo, Azam knows. Kwa mwendo huu Yanga 8-0 Simba.
 
Libolo performs in ascending order 1, 4, 8, 13, 19 etc.
 
Mpira jina lingine condom halafu pawepo na libolo unategemea nn lazima pachimbike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…