Ha ha.. Kipanya bana..

Ha ha.. Kipanya bana..

sosoliso

Platinum Member
Joined
May 6, 2009
Posts
8,543
Reaction score
9,480
kipanya...jpg

ha ha ha..

cc: Mwita Manyara
 

Attachments

Hahahah wana Musomaaaa kule watulivu hawana mambo mengi
 
naomba kweli kweli yagunduliwe huko na gesi na kila vyote vigombaniwavyo
 
nashangaa vyuo vikuu kila leo vinazawadia watu ambao hajafanya hata la maana udokta lakini hakuna hata chuo kilichompatia huyu bwana hata award ya diploma! He's a truly a great thinker
 
iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.... masibhotaaa, mwitaaaaa, chacha, marwaaaa kamata ire siraha yako wanakwiba rigesi retu
 
naomba kweli kweli yagunduliwe huko na gesi na kila vyote vigombaniwavyo

Ha ha ha ha.. Kwenye madini walikutwa off-guard naona.. Ila wanapambana hao.. Kwenye project yeyote mpya hawatakubali.. Wataua mtu hawa...
 
nani kawambia wakyura wana time na haki zao za raslimali? wao minds zao ziko kwenye kuibiana ng'ombe na kuchinjana tu! huko Nyamongo wamenyweshwa maji yenye sumu (mto Tigithe) hawajafanya lolote. kazi kukurupushwa na polisi wanaolinda mgodi wa North Mara pale wanapokwenda kuiba mabaki ya mawe baada ya kuchenjuliwa dhahabu maarufu kwa jina la 'magwangala'! dhahabu inaondoka na wazungu wao wanapigana vikumbo na magwangala! ni sawa na wasukuma na wakerewe wa Mwanza..wazungu wanabeba minofu ya samaki wao wanapigana vikumbo kwenye mapanki ya samaki!
 
Back
Top Bottom