Ha ha ha haaa Kipwito!!!!!!!

Ha ha ha haaa Kipwito!!!!!!!

huwa kinakera lakini unawea toa mbele za watu.. Gemmy njoo utoe ushuhuda
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah! umenifanya nicheke sana we mwanamke unajua kuna muda kama kinaona watu yaani ndio kinachachamaa hatari aaagh! unaangalia kushoto kulia pwituuu ! unachomoa:A S wink:

Ha ha ha ha asante kwa ushuhuda huu matata
 
Hahahahahah! umenifanya nicheke sana we mwanamke unajua kuna muda kama kinaona watu yaani ndio kinachachamaa hatari aaagh! unaangalia kushoto kulia pwituuu ! unachomoa:A S wink:

Ha ha ha ha haaaaaaa

Umenichekesha sana weye bibiye, wallah Asprin njoo uongeze ashki we mwana Bazazi
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha haaaaaaa

Umenichekesha sana weye bibiye, wallah Asprin njoo uongeze ashki we mwana Bazazi

Kuna jamaa alimuona mwanmke kavaa dera, sasa lile dera lilikuwa limezama kwenye kipwinto kama hivyo kwa picha...

Jamaa kwa kufikiria ile hali inamdhalilisha yule bi mkubwa, akalivuta lile dera pwituuu likachomoka kunako kipwinto...

Kumbe bi mkubwa akakasirishwa na kile kitendo, akarusha kibao akisindikiza na maneno 'unikome bwana eenh...'

Basi jamaa kwa kujua labda yule bi mkubwa apenda hali hiyo, kwa ustaarabu akanyoosha mkono kutaka tena kurudishia hilo dera kunako kipwinto...

Imagine hilo timbwili lililotokea hapo...
 
Yaani kushika takoo lako mwenyewe waogopa kisa ni hadharani!!!

Hivi unaweza kupigwa denda mbele ya kadamnasi wewe...

haha siwezi aslani siku ya harusi yangu itabidi nijikaze tu lol
 
funny-wedgies-dumpaday-9.jpg


Hapa kuna kingine kinaendelea
 
Kuna jamaa alimuona mwanmke kavaa dera, sasa lile dera lilikuwa limezama kwenye kipwinto kama hivyo kwa picha...

Jamaa kwa kufikiria ile hali inamdhalilisha yule bi mkubwa, akalivuta lile dera pwituuu likachomoka kunako kipwinto...

Kumbe bi mkubwa akakasirishwa na kile kitendo, akarusha kibao akisindikiza na maneno 'unikome bwana eenh...'

Basi jamaa kwa kujua labda yule bi mkubwa apenda hali hiyo, kwa ustaarabu akanyoosha mkono kutaka tena kurudishia hilo dera kunako kipwinto...

Imagine hilo timbwili lililotokea hapo...
mmmh! watu8 hii chai ya rangi hii
 
Last edited by a moderator:
Hii sababu yakeni chupi isiyokutosha au ni chupi iliyo kubwa ? maana haka ni katatizo
 
mmmh!kuna baadhi ya mambo unafanya kama umetoalock vile
 
Back
Top Bottom