BonBerry112
Member
- Oct 17, 2012
- 8
- 0
Siku moja ticha wa dini alikuwa
anafundisha darasa la 3. Akauliza
"wangapi wanataka kwenda
mbinguni?" darasa zima
wakanyoosha mikono kasoro dogo
mmoja tu. Mwalimu akamuuliza
"wewe hutaki kwenda mbinguni?"
Dogo akasema hataki. Mwalimu
akamuuliza "kwa nn?" Dogo akajibu
"mama kaniambia nikitoka shule
nisipitie popote, niende moja kwa
moja nyumbani na si unajua
anvyochapa bakora nikikosea.
anafundisha darasa la 3. Akauliza
"wangapi wanataka kwenda
mbinguni?" darasa zima
wakanyoosha mikono kasoro dogo
mmoja tu. Mwalimu akamuuliza
"wewe hutaki kwenda mbinguni?"
Dogo akasema hataki. Mwalimu
akamuuliza "kwa nn?" Dogo akajibu
"mama kaniambia nikitoka shule
nisipitie popote, niende moja kwa
moja nyumbani na si unajua
anvyochapa bakora nikikosea.