......h0d! h0d!! Great T'

......h0d! h0d!! Great T'

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
130
nipokeen ndugu zangu nimeingia leo humu ndan... so respect kwenu nyotE
 
Karibu, ila kabla hatujaongea mengi
Wewe ni ke au me?
 
Ila kaa mkao wa kubaguliwa maana kuna wabaguzi wengi sana huku! Yani humu kuna ukanda, udini, kujuana, ushoga na ufitini! So kubali changamoto bora unafungua kitufe cha log in unaangaza angaza then una log off
 
dah!.....nimekaribia thnk nshakuwa mwenyej si vbaya nami nikiwapokea wagen
 
dah!.....nimekaribia thnk nshakuwa mwenyej si vbaya nami nikiwapokea wagen

Subiri kwanza ww!! haraka ya nn?! hata bado hujabanduliwa. acha hizo wewe subiri kwanza ubanduliwe makaratasi.
 
Back
Top Bottom