Jasor Member Joined Apr 4, 2023 Posts 28 Reaction score 45 Dec 6, 2024 #1 Nimepita leo fb nikakutuna na hawa watu (Global Youth Support Center) wa kusupport vipaj vya watoto wadog kielimu, football, basketball nk Lakn sina uelewa san juu yao jaman wanajamii kwa yeyote mwenye uelewa zaid anisaidie.
Nimepita leo fb nikakutuna na hawa watu (Global Youth Support Center) wa kusupport vipaj vya watoto wadog kielimu, football, basketball nk Lakn sina uelewa san juu yao jaman wanajamii kwa yeyote mwenye uelewa zaid anisaidie.