locality for both physical and intellectual education of young men
Huwa najiuliza,
Kwanini Tz au nchi nyingi za Africa hazina mfumo huu?
Kuna watoto wengine ni smart sana mashuleni na mwalimu akifundisha japo dakika tano tu mwanafunzi ameshaelewa kabisa kinachofundishwa, huku akiwashangaza wanafunzi wenzake ambao hata kwa lisaa lizima lakini bado hawajaelewa.
Kwanini Tz hakuna Gymnasium Schools?
Shule ambazo wanafunzi wanakwenda wenye vipaji tu, na hawana muda wakupoteza kukaa miaka na miaka kwenye madarasa ya wanafunzi wakawaida.
Hii inasaidia mwanafunzi toka mwanzo anajua atachosoma ninini baadae.
Mwisho naomba radhi kama hii post nimeiweka pasipohusika.