Gym ya Mabwepande..

Baada ya hapo ugali dagaa then kitu cha Arusha..
 
Upande wa kushoto ni 40KG na wa kulia ni 25KG.
 
Safari ni safari tuu iwe kwa basi,ndege au kwa miguu ilimladi ufike.
 
Huu ni ubunifu wa hali ya juu, naamini Engineer mmoja akitumia muda wake kidogo tu anaweza renovate stage waliyofikia na kwenda mbele hatua mbili tatu.
Hawa wametumia local resources ku solve immediate problem.

Wengine wangeiba BOT katika ku solve tatizo hilohilo katika large scale.

Kuna teknolojia nyingi sana tumezikumbatia kwa mikono miwili lakini hazitufai au zinageuka mzigo katika mfumo wa maisha yetu.

We build our life around electrical appliances before building reliable electric sources.
 
naomba munielekeze jinsi ya kufika mabwepande. nina hamu ya kutembelea hicho kijiji kipya.
 
naomba munielekeze jinsi ya kufika mabwepande. nina hamu ya kutembelea hicho kijiji kipya.

Tafuta na nunua kiwanja eneo la bondeni then jenga nyumba hapo. Subiri mvua za Masika za mwaka kesho then bila ubishi utakuwa MABWE-PANDE! Karibu sana!

DON`T MIND THIS . . . IT`S JUST A JOKE MY FRIEND!
 
kama msosi hovyo utajikuta unasinyaa badala ya kujazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…