gym gym gym gym

gym gym gym gym

emilwayne

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
265
Reaction score
19
natafuta gym yoyote iliyokuwa dar es salaam kwa ajili ya kufanya mazoezi so kwa anayejuwa please nielekeze or naomba CONTACTS zao... my no 0712868178
 
kama uko mwenge nenda pale sayansi kuna petrol station opposite EFC. Pale kuna Gym. Kimara Baruti pia kwenye PS ya B.P kuna gym pale
 
Nenda Home Boys pale maeneo ya mwenge ukutane na Ticha Andrew, usipopungua hapo basi uache gym maisha yako! Ila sina namba yao lakini waweza kutazama ITV kati ya saa 11.00 au 11.30 alfajiri huwa ana vipindi vyake vinaonyeshwa nadhani hapo waweza ona contact zake.
 
Back
Top Bottom