9.5? Mbona parefu hivyo....ungeanzia hata 7
unataka kununua? au ndo usumbufu tu
Alitake naniiii babu we. Xtrail ukishanunua haliuziki lako mwenyeweee.nikupe nissan xtrail?
Bra a ninong'oneze shughuli uliofanyia.Gari ipo kwenye hali nzuri kabisa nauza sababu nimemaliza shughuli zangu za hapa sasa nataka kusafiri mnunuzi alie serious
Nami nampa 6, mil 9asahau kabisakula 6.
Alitake naniiii babu we. Xtrail ukishanunua haliuziki lako mwenyeweee.
Fugia kware bro.:becky:
Alitake naniiii babu we. Xtrail ukishanunua haliuziki lako mwenyeweee.
Fugia kware bro.:becky:
6 mkuu nitafute tumalizane kesho saa 4 asbh
Habari wana JF,
Ninauza gari yangu Toyota mark II
mwaka 2003
Namba T 738 CLQ
KM 101000
Gari ipo katika hali nzuri sana nimeagiza mwenyewe toka japan kwajili ya shughuli zangu na sasa nimemaliza shughuli zangu za hapa nchini hivyo nasafiri nje sasa nimeamua kuuza kwakuwa sihitaji tena. Kwa wateja walio serious bei ni milioni tisa na laki tano 9,500,000. Napatikana hapa Dar es salaam.
Asanteni
Kumbe na we umo!!