TANZIA Gwandumi Mwakatobe afariki dunia

Halafu alikuwa ni Member humu jukwaani.
Comrade, pumzika kwa amani.
 
Apumzike salama,bonge moja la mchambuzi wa siasa.hakika ni pigo kubwa
 
Uchambuzi wake uliegemea wapi zaidi?,je alikua mchambuz chawa?,alikua upande wa wananchi?
 
Ni member humu kuna kipindi nilikuwa nawasiliana naye baadaye tukapotezana

Alikuwa mtu poa sana aliyesimama na wananchi Kila alipopata nafas DW KISWAHILI kipindi cha MEZA DUARA chini ya SUDI MNETE alikuwa mwanamajumui wa kiafrika mpenda maendeleo

Vurugu za oktoba 29 alisimama na wananchi na alitaka wahusika wawajibishwe

RIP GWANDUMI MWAKATOBE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…