Gwanda za chadema

Gwanda za chadema

ruston8919

Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
68
Reaction score
14
Wakuu naomba mwenye kufahamu sehemu wanakouza gwanda za chadema mbali na mikutanoni cz mikutano c kila cku, pia ningependa kujua bei zake kwa uhakika, kwa sasa nipo iringa, nitaelekea dar then kilimanjaro. msaada pliz.
 
Gwanda limekuwa bidhaa adimu sana maana linasakwa na Watanzania wake kwa waume ndani na nje ya nchi. Subiri labda wanaofahamu linapatikana wapi wanaweza kukusaidia.
 
Mkuu, wengi wanashona wenyewe kwa kutafuta kile kitambaa kigumu kama unataka zile za mapambano hasa ukiwa field kwenye mikutano..na kuna zile za kushona na kitambaa chepesi kwa ajili ya ofisini na sehemu zingine maalumu. Ni ngumu kupata sehemu wanapouza gwanda kama gwanda, mara nyingi naona skafu, kofia, vitopu, bendera nk
 
Botique nyingi wanauza, ni common. Fika maduka ya Mwenge, Posta mpya, kariakoo na kwingineko kwingi tu. Gwanda zilikuwepo toka zamazi ila CDM waliamua kufanya kuwa vazi lao rasmi. Kuna kila rangi za gwanda utazipata bila wawasi.
 
majibu mepesi kwa maswali makini tabu kwelikweli, huko kote hupati, cha msing nenda kariakoo au posta karibu na DTV uliza kwa mwarabu kanunue kitamba sema kaki ya morogoro au american kaki then nitakuelekeza fundi mzuri ukipenda nitafute

V
SENGEREMA
 
Memorial Kila alhamisi utapata za Mtumba, maridadi sana.
 
ukija dar psle kinondoni makao makuu ya cdm zinauzwa pale na kushonwa pia .mm nilipoenda kununua ilikuwa kama 70,000 hazitazidi hapo.
 
Wakuu naomba mwenye kufahamu sehemu wanakouza gwanda za chadema mbali na mikutanoni cz mikutano c kila cku, pia ningependa kujua bei zake kwa uhakika, kwa sasa nipo iringa, nitaelekea dar then kilimanjaro. msaada pliz.

Mkuu njoo Kinondoni makao makuu ya CDM
 
Mkuu nenda kituo chochote cha polisi zinapatikana nyingi tu.
 
Wakuu naomba mwenye kufahamu sehemu wanakouza gwanda za chadema mbali na mikutanoni cz mikutano c kila cku, pia ningependa kujua bei zake kwa uhakika, kwa sasa nipo iringa, nitaelekea dar then kilimanjaro. msaada pliz.

Kwenye mitumba, Manzese!
 
Wakuu naomba mwenye kufahamu sehemu wanakouza gwanda za chadema mbali na mikutanoni cz mikutano c kila cku, pia ningependa kujua bei zake kwa uhakika, kwa sasa nipo iringa, nitaelekea dar then kilimanjaro. msaada pliz.

Sijaelewa uhusiano wa swali lako na hayo maeneo.
Angalia usifanye kama yule jamaa anayechukua sare na bendera za chama halafu anapeleka kwenye mikutano na kuvalisha wanyama. Nunua gwanda kwa lengo la kulivaa si vinginevya...
 
sasa ambacho hujaelewa ni nn hasa au unapenda kujibizana? maan yangu kutaja hayo maeneo ni ili kama kuna mahali hizo gwanda zinapatikana na nipo niweze kupata kabla cjaondoka eneo husika, hzo ni safar zangu hazikuhusu
 
Back
Top Bottom