Gwakisa: Masalia walie tu!

Gwakisa: Masalia walie tu!

sasa na huyu mtela mwampamba anasema atasema yote juu ya masalia. Gwakisa awe makini kusikiliza hoja za mtela ili asije kupotosha ukweli
 
Aoneshe kwa vitendo kuwa ametambua na kujutia makosa yake ya usaliti.

Ila lazima abaki chini ya uangalizi kwa muda usiopngua mwaka mmoja, kwa maoni yangu.
 
Kusema ukweli Gwakisa hawezi kusema hayo! Kama amesema,basi ndo mwisho wake kisiasa!
 
sasa na huyu mtela mwampamba anasema atasema yote juu ya masalia. Gwakisa awe makini kusikiliza hoja za mtela ili asije kupotosha ukweli

Unadhani Masalia wanalo jipya zaidi ya matusi na viroja? Kama Gwakisa yuko serious ni kuwa-ignore akina Shonza, Mtela, Eddo, Kisandu na wengineo
 
mi siamini na gwakisa si mwana jf
aje atuthibitishie yeye mwenywe. Kwamba sas amejitambua na hata tumika tena.
 
Back
Top Bottom