Hata angesema bungeni angeandamwa tu. Huyu femme keshajiona mungu mtuYeye ni mbunge,Akapaze Saudi bungeni,Asilete chokochoko za dini kwenye nyumba za ibada,Na hii siyo yeye tu ni kwa dini zote.
HakikaIla twende mbele bila kurudi nyuma, mama hatumdai, amefanya kila kitu
Yeye ndo anatudai, kura ya HAPANA
Najiuliza tu kosa la gwajima ni lie la kutoa ushauri au la!Inatosha nasema tena inatosha. Ni mda sasa watanzania kuacha kushabikia ulimbukeni na kukemea hiki serekali inachokifanya.
Democracy maana yake ni mtu kuwa na uhuru wa kutoa maoni bila kujali anatoa dhidi ya nani. Gwajima kuongea suala la utekaji hayo ni maoni yake na hajavunja sheria yoyote ya nchi, nashangaa sana watu wanamshambulia kuwa anavunja amani na utulivu nchini.
Hivi kati ya utekaji na utoaji maoni ni kipi kinahatarisha amani na nchi? Si bure hata serekali inapata kiburi cha kufanya huu ujinga kwa kuona kuwa bado kuna watu wanawaunga mkono, ni mda sasa wa sisi kama raia kusimama na kupasa sauti kukemea huu uonevu mama no matter what.
Gwajima katoa maoni yake kama raia wa tanzania na ana haki ya kuskilizwa, hajainua bunduki kuingia mtaani kuua watu. Maoni yake yaheshimike
Kwani amekuchokonoa kiasi Cha kuhisi maumivu namna hiyo,pole sana dada mzuriYeye ni mbunge,Akapaze Saudi bungeni,Asilete chokochoko za dini kwenye nyumba za ibada,Na hii siyo yeye tu ni kwa dini zote.
Inakuwaje chokochoko ya kidini? Katukana dini ingine? Angemsifia Rais kwenye nyumba ya Ibada ingekuwa chokochoko ya kidini? Kufungia taasisi ya kidini yenye waumini kibao kwa "kosa" la muumini moja, hii ndio twaweza tafsiri kama chokochoko ya kidini hasa mwenye mamlaka akiwa wa dini ingine.Yeye ni mbunge,Akapaze Saudi bungeni,Asilete chokochoko za dini kwenye nyumba za ibada,Na hii siyo yeye tu ni kwa dini zote.
😀😀😀Ila twende mbele bila kurudi nyuma, mama hatumdai, amefanya kila kitu
Yeye ndo anatudai, kura ya HAPANA
Kauli zina nguvu kuliko vitendo. Rudi usome historia.Inatosha nasema tena inatosha. Ni mda sasa watanzania kuacha kushabikia ulimbukeni na kukemea hiki serekali inachokifanya.
Democracy maana yake ni mtu kuwa na uhuru wa kutoa maoni bila kujali anatoa dhidi ya nani. Gwajima kuongea suala la utekaji hayo ni maoni yake na hajavunja sheria yoyote ya nchi, nashangaa sana watu wanamshambulia kuwa anavunja amani na utulivu nchini.
Hivi kati ya utekaji na utoaji maoni ni kipi kinahatarisha amani na nchi? Si bure hata serekali inapata kiburi cha kufanya huu ujinga kwa kuona kuwa bado kuna watu wanawaunga mkono, ni mda sasa wa sisi kama raia kusimama na kupasa sauti kukemea huu uonevu mama no matter what.
Gwajima katoa maoni yake kama raia wa tanzania na ana haki ya kuskilizwa, hajainua bunduki kuingia mtaani kuua watu. Maoni yake yaheshimike
Inatosha nasema tena inatosha. Ni mda sasa watanzania kuacha kushabikia ulimbukeni na kukemea hiki serekali inachokifanya.
Democracy maana yake ni mtu kuwa na uhuru wa kutoa maoni bila kujali anatoa dhidi ya nani. Gwajima kuongea suala la utekaji hayo ni maoni yake na hajavunja sheria yoyote ya nchi, nashangaa sana watu wanamshambulia kuwa anavunja amani na utulivu nchini.
Hivi kati ya utekaji na utoaji maoni ni kipi kinahatarisha amani na nchi? Si bure hata serekali inapata kiburi cha kufanya huu ujinga kwa kuona kuwa bado kuna watu wanawaunga mkono, ni mda sasa wa sisi kama raia kusimama na kupasa sauti kukemea huu uonevu mama no matter what.
Gwajima katoa maoni yake kama raia wa tanzania na ana haki ya kuskilizwa, hajainua bunduki kuingia mtaani kuua watu. Maoni yake yaheshimike
Ukweli aliosema Gwajima hata bungeni usingekubalika, angepigwa pini na spikaYeye ni mbunge,Akapaze Saudi bungeni,Asilete chokochoko za dini kwenye nyumba za ibada,Na hii siyo yeye tu ni kwa dini zote.
Tukiacha ushabiki wako wa wachina, kwa leo nakuunga mkono🙂Ila twende mbele bila kurudi nyuma, mama hatumdai, amefanya kila kitu
Yeye ndo anatudai, kura ya HAPANA
Bahati mbaya kwa mazingira ya sasa kura hazina nguvu broh, yaani ushindi hautokani na idadi ya kura!Ila twende mbele bila kurudi nyuma, mama hatumdai, amefanya kila kitu
Yeye ndo anatudai, kura ya HAPANA
Unasimama nae hapa Jf 🤣 🤣
Shemeji pole kwa kuchokonolewa... jikaze hadi ifike hadi mwisho atachomoa muda si mrefu upumue..Yeye ni mbunge,Akapaze Saudi bungeni,Asilete chokochoko za dini kwenye nyumba za ibada,Na hii siyo yeye tu ni kwa dini zote.