Gwajima vs Kova Chanzo ni Dr. Ulimboka

Gwajima vs Kova Chanzo ni Dr. Ulimboka

madudu kova anayoshabikia na kuyaonyesha ktk TV yanatudhalilisha. huyu mtu alisomea wp masuala ya upelelezi? anaamini ktk kukusanya vielelezo akiamini ndo kamaliza kazi. alipomkamata yule aliyemshtumu kumtesa Ulimboka akaamini tutamsifia kazi nzuri. akamtesa bure kijana wa watu. wamemtoa wapi huyu!
 
Dah, Nimecheka mpaka basi! Wakati Shehe Ponda alipochukuliwa hatua wengi walikaa kimya, wanachoshindwa kuelewa ni kuwa mfumo ule ule wa sheria uliomchukulia hatua Shehe Ponda unatumika hata kwa watu wengine wakiwamo na Wachungaji.

Upo sahihi mkuu
 
Nimekupata vizuri, wewe ni miongoni mwa watu wanaotunza kumbukumbu vizuri and una join the dots.
 
Kova Ana kisasi na Gwajima baada ya Gwajima kumkana zezeta ambaye Kova alikuwa analazimisha Kuwa ndiye mtesaji wa Dr. Ulimboka.
Kova aliumbuka Sana na baada ya hapo alikaa kimya kabisa akingoja wakati muafaka wa kulipiza kisasi. WAKATI NDIO HUU WA KOVA KUJIINUA.
MAJESHI.... MAJESHI...........
Kweli Ujinga hauna Kikomo
 
Mods anzisheni kanuni ya kupiga ban watu wazushi kama huyu anatoka kula ugali wake wa muhogo na nguru halafu anatunga uongo katika ubongo wake na kuumwaga humu JF! ovyo kabisa!

Apigwe vipi ban wakati hiyo ni opinion yake, hamtaki watu wafanye deep thinking kwa ku-connect dots!!
 
Kova ameshajichokea - Saidi Mwema(IGP mstaafu) ambaye ni shemeji yake na kamanda Kova ndiye aliye nyuma ya haya yote.
1. Kova hana akili kihivyo - hana uwezo wa kubuni mkakati wowote wa visasi
2. Kova hajawahi kupanga mkakati wowote wenye akili - uliofanikiwa
3. Watu wanaomzunguka Kova ni watu wa maigizo
4. Kila jambo Kova anakimbilia kwa saidi mwema kuomba ushauri. Na mara zote anaingizwa chaka!
5. KOVA ni DEBE TUPU - mikakati ya kijasusi eti anajifunza kwa kuangalia movie??????????????? hahahahahahaaaaaaaaaaaa Kova!!!!
 
Suala la shehe Ponda ni tofauti msichanganye Maji na binzari tena yenye pilipili! Maji hayo hamtayanywa!

Tuambie tofauti take mkuu, maana wote Ni viongozi wa dini na selikali inawasakama kwa hila ila kuwaangamiza, sasa na wewe utupe tofauti zao unazoona wewe
 
"Hata hivyo, katika kwa upande mwingine, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova alisema bunduki hiyo haina umiliki halali wa Gwajima wala wa wachungaji 15 waliokamatwa lakini baadaye jioni baada ya maelezo ya Gwajima, alitoa taarifa akisema bastola hiyo ni mali halali ya askofu huyo. Pia alisema kuhusu risasi 17 za bunduki aina ya Shortgun, Gwajima anamiliki bunduki ya aina hiyo lakini akasema uchunguzi kuhusu watu hao 15 unaendelea" Mwananchi 31 March 2015

Nilitarajia Polisi kabla ya kutoa taarifa kwa umma kwa jambo lolote wanakuwa wamefanya uchungiuzi wa kina. Kinyume chake ni kuwa Kova anakimbilia kupata publicity na taarifa zisizo sahihi. Anaaibisha nchi na jeshi la polisi!
 
Umevaa miwani bado huoni soma mstri kwa mstari ili uelewe
 
Kova anaona joshua mulundi aliumbuka sasa amepata kwa kumbambikia kesi za kipuuzi Gwajima,Kwani Pengo ndio ameenda kushtaki polisi?
 
Back
Top Bottom