Gwajima alimuumbua Kova Kwenye issue ya Ulimboka baada ya Kova kujaribu kuufanganya ulimwengu Kuwa aliyemtesa Dr. Ulimboka kajisalimisha kanisani kwa Gwajima.
Gwajima alikanusha story feki ya Kova, Kova UKAWA mdogo Kama mtoto wa sisimizi.
kumbe Kova alivyoaibika akawa anapanga mbinu ya kumuumbua Gwajima, sasa Gwajima kaingia Kwenye kumi na nane za Kova.
Alaaaah! Kumbe ndiyo hivyo:what: