Mwizukulu wa Buganda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2024
- 638
- 1,771
Absolute factTundu Lissu ana maneno makali ila Hayati Rais Magufuli alimvumilia 2020 na akashinda uchaguzi
Naunga mkono hojaTundu Lissu ana maneno makali ila Hayati Rais Magufuli alimvumilia 2020 na akashinda uchaguzi
Na. M. M. Mwanakijiji
Niwe wa kwanza kusema kuwa endapo TAL na CHADEMA hawatoruhusiwa kushikiri uchaguzi huu, Watanzania wajiandae kuona mwisho wa utawala wa CCM Rais Samia akiwa ni Rais wa mwisho wa CCM kuelekea 2030. Ule UNABII utaenda kutimia.
Ni kweli, tena kwelikweli.
Hata Mkuu Robert Heriel Mtibeli alisema Watibeli tunaiomba serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Tarehe 7Wanabodi
Naendelea kushauri, kale ka simba ka Kizimkazi, kaondolewe tuu kwenye ile cage, katatusumbua sana kwa kupigiwa kelele kutoka karibu kila kona!.
Hebu tuwape tuu wanachotaka, tuingie uwanjani kwenye uwanja ulio sawa, ( a level playing field), tuboreshe kanuni za mchezo kwa fair play, tuweke refa mtenda haki, mwisho wa mchezo, mshindi apatikane kwa haki, tufurahie ushindi wa haki, tena kwa hisia zangu, hizi mambo za figisu, zinaweza kuwa ndio zimechagia kwenye ile karma iliyopelelekea lile tukio lile kutokea!, tusipojirekebisha hii 2025, tukio kama lile linaweza kuja kujirudia!.
Mzee Pasco
SawaInner circle imeshaamua liwalo na liwe. 'We are here to rule'
Zote mbili na huyu wa sasa akiwepo serikali zote mbili, mwanamke amempa kesi na akipata hatia ananyongwaHivi Tundulisu alitakiwa kuuliwa awamu ipi? Sema tu Jamaa ana roho ya paka
Mh! Huo ni mtego wa panya. Jiwe alivumilia maneno ya Lisu. Mwingine angeweza labda Kikwete. Lakino kwa wamama, sijui kama wanaweza kuvumilia maneno makali ya Lisu kwamba aeleze kinaga ubaga!Tundu Lissu ana maneno makali ila Hayati Rais Magufuli alimvumilia 2020 na akashinda uchaguzi
🙏🙏🙏🙏Na ndiyo shida ya Samia na CCM wenzake, wanaogopa maneno tu makali ya Tundu Lissu kiasi cha kutumia mamlaka yao vibaya kumtengenezea kesi...
Na in fact, ishu wala sio kuwa "Tundu Lissu huwa ana maneno makali" kwa maana ya ukali tu. Bali huyu Bwana Tundu Lissu huzungumza ukweli usiochujwa, unaopenya hadi kwenye maro za mifupa ya walengwa wa ukweli huo na kuwaletea maumivu makali kiasi cha kutafuta namna ya kujihami Ili kuudhibiti ukweli huo usiwaletee madhara kwa mtazamo wao....
Hiki ndicho kinachoendelea sasa, kesi ya uongo ktk harakati za watawala kujaribu kuukimbia ukweli unaowahusu. Wanashindwa kuelewa kuwa, ukweli huwa unakuwa embraced na si kupigwa teke...
Askofu Josephat Gwajima, anajua fika kuwa Tundu Lissu anashitakiwa kwa uongo na uzushi tu.....abuse of power & criminal procedures..!!
Askofu Gwajima japo amekwepa kusema moja kwa moja, kuwa, mwachieni Tundu Lissu na acheni CHADEMA wafanye shughuli zao za kisiasa bila uonevu. Lakini anajua fika kuwa TL na CHADEMA wanaonewa...!!
Hata hivyo nimefarijika mwishoni kwa kuwa amesema, wenye akili ya kutafsiri haya mambo wataelewa naamanisha nini...!!
Mimi nimekuelewa Bishop Gwajima. Unaamanisha Samia atende haki, aache kuonea watu kwa kutumia madaraka yake vibaya - ABUSE OF POWERS & AUTHORITY...!!