Gwajima: Sina ugomvi na Jeshi la Polisi wala Serikali

Gwajima: Sina ugomvi na Jeshi la Polisi wala Serikali

utaacha lini kusoma magazeti ya udaku!? utaacha lini ushangingi?? dume zima unakazania habari za magazeti ya visa, kiu! HOPELESS!
Angeanza kumkemea mwizi WA mke WA Mbasha ambaye inasemekana Ni muhubiri maarufu nchini
 
gwajima ni mchungaji wa kipekee sana Mungu akutie nguvu mtumishi
 
hofu! Unacheza wewe! au ilimradi ucomment?? sasa fatilia hadi mwisho uone! ila kutokana na ukilaza wako sijui kama utaelewa!
We unampa hongera lakini mwenzio bado ana hofu juu ya mahojiano yajayo, kwa sababu inaonekana hata ugonjwa anaougua unatokana na maswali ambayo hakutarajia kuulizwa.kwa nini uwena hofu kama hauna hatia? tutayajua mengi mwisho wa hii movie just a matter of time.
 
heri yako una akili! hata baadhi ya maaskofu wa katoliki wanampigia simu kumjulia hali coz wanajua kinachoendelea! wanajua issue ya Pengo ilitumika tu km starting point, bt walikuwa wanamtafuta long tm! but kutana na baadhi ya waumini wao walivyo wagumu kufikiri!! siku yakiwapata wao...naomba Mungu awakumbushe sakata hili. ila wanaodhani huu ni mwisho wa Gwajima, wamekosea sana.
Kukariri kubaya sana me nilitegemea maneno ya watu kwamba mtu akitoka maeneo ya polisi huwa ana kaa kimya wala hawezi kuongea tena. Gwajima pamoja na yaliyomkuta bado ana ujasiri wote. Nakumbuka alisema kwenye audio yake kwamba atasema kila kitu akitoka huko kama ambavyo hapindishi, kweli kasema, Gwajima wewe ni tofauti, me binafsi nakuunga mkono, ile alhamisi ntaungana na washirika wako tuangalie kipi kinaendelea naanza kupata mashaka, kuna njama mbovu hapa nahisi, padre wangu anakuunga mkono pia nimemsikia mwenyewe nje ya kanisa. JF together na bwana gwajima.
 
kwan alisema haendi? mbona kila akiitwa anaenda..na amesema ataenda! unadhani kila mtu anaogopa polisi kama wewe! ukiwaona kama uwashike kichwa vile...jaman ni watu tu wale
Gwajima hana ugomvi na polisi wala serikali polisi ni nini serikali ni nini haya yote tumekusikia tareh 9 nenda kahojiwe na polisi.
maneno yako isiwe sababu ya kutoendelea kuhojiwa
 
Mkuu Fandre

Una video ya haya yaliyojiri huko kanisani?

Tupatie nasi tushuhudie
 
utaacha lini kusoma magazeti ya udaku!? utaacha lini ushangingi?? dume zima unakazania habari za magazeti ya visa, kiu! HOPELESS!

Umekula maharage ya wapi wewe??
 
Back
Top Bottom