Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,222
..binafsi nilishangaa kwanini nafasi ya kuzungumza baada ya Raisi hawakupewa wabunge wazoefu.
..huenda Spika alikua na nia njema ya kumpa nafasi Gwajima aonyeshe kipaji chake, lakini kwa bahati mbaya Gwajima akaharibu.
..maneno aliyatumia Gwajima, pamoja na kwamba amenukuu toka kwa Winston Churchill, sidhani kama yalikuwa yanafaa kwa mazingira ya sasa ya siasa zetu. Mzungumzaji mzoefu na mtu mahiri ktk siasa hawezi kutoa kauli ya namna ile baada ya uchaguzi mkuu.
Na wewe msoma vitabu na mkariri maandiko ya wengine utuambie Kama msemo huo wa Churchill ulifaa kutumika hapa Tanzania kwa wakati huu? Tupe na sababu ya kwanini utumike Sasa na sio awamu nyinginezo!CHADEMA inaungwa mkono na watu wengi wenye upeo mdogo sana na ni negative minds pia hawajisomei vitabu! Sasa huo msemo wa Winston Churchill aliotumia Askofu Gwajima imeshakuwa eti kawaita Mbwa! Ficheni upumbavu wenu!
Kuna Falsafa gani hapo, kaita wafuasi wa vyama vya upinzani mbwa, kasahau kuwa huo mshahara wake wapinzani wanatoa kodi. Nina wasiwasi kama kama kuna mfuasi wa upinzani anaesali kwa GwajimaAcheni umbumbumbu . Kama hata fasihi hamzijui ndio mnataka nchi.!!! Tumechoka na uwehu wenu. MNALETA VITHREAD VYA KUTIA HURUMA ILI IWEJE?
Hakika umenena....shida wanapenda kumfurahisha mfalme hadi uharibu unapatikanaBinafsi nilishangaa kwanini nafasi ya kuzungumza baada ya Raisi hawakupewa wabunge wazoefu.
Huenda Spika alikua na nia njema ya kumpa nafasi Gwajima aonyeshe kipaji chake, lakini kwa bahati mbaya Gwajima akaharibu.
Maneno aliyatumia Gwajima, pamoja na kwamba amenukuu toka kwa Winston Churchill, sidhani kama yalikuwa yanafaa kwa mazingira ya sasa ya siasa zetu. Mzungumzaji mzoefu na mtu mahiri ktk siasa hawezi kutoa kauli ya namna ile baada ya uchaguzi mkuu.
Baada ya miaka mitano nadhani wana uzoefu wa kutosha kuelewa what ‘tickles the president fancy’, he is smitten by people like Kabudi when they speak of him.
Sababu kubwa ya raisi kutaka kuona Gwajima anakuwa mmbunge, apate mtu mwingine wa kumsifia. Ndio vigezo ivyo ivyo speaker alivyotumia kumteua Gwajima to present the tribute speech. Si ulimuona ata raisi mwenyewe alivyofurahishwa.
Yesu alifananisha watu na mbwa sembuse Gwajima!!acheni nongwa za kitoto.Na wewe msoma vitabu na mkariri maandiko ya wengine utuambie Kama msemo huo wa Churchill ulifaa kutumika hapa Tanzania kwa wakati huu? Tupe na sababu ya kwanini utumike Sasa na sio awamu nyinginezo!
Wapinzani wamebaki wawili tu bungeni wengine waliobakia wameonekana hawana umuhimu mbele ya wapiga kura.Kuna Falsafa gani hapo, kaita wafuasi wa vyama vya upinzani mbwa, kasahau kuwa huo mshahara wake wapinzani wanatoa kodi. Nina wasiwasi kama kama kuna mfuasi wa upinzani anaesali kwa Gwajima
Fasihi haina umbo hata uzi huu pia umejibiwa kifasihi pia povu la nini sasaAcheni umbumbumbu . Kama hata fasihi hamzijui ndio mnataka nchi.!!! Tumechoka na uwehu wenu. MNALETA VITHREAD VYA KUTIA HURUMA ILI IWEJE?
YAWEZEKANA WEWE NDIYO JIBWA LINALOBWEKA NYUMA YA KIBODI. ASKOFU HAJA SEMA WANANCHI, SIDHANI ITAKUWA NDIYO IWAPO WEWE NIMIONGONI MWA WALIOPANGA KUINGIA BARABARANI NA KUCHOMA MATAILI NA VISIMA VYA MAFUTA, WATU WENYE NIA OVU YA KUHATARISHA MAISHA NA KUJITANGAZIA KUWA AMETISHIWA KUTEKWA NADHANI LABDA NAYEYE AWEKWE KWENYE KUNDI LA JIBWA. Maendeleo hayana vyama...
Huyu Askofu Gwajima mwisho wake utakua mbaya sana, atakuja kufedheheka na kudharaulika sana, na chanzo kitakua ni kujificha katika "KIVULI CHA DINI" ili afanye "USHETANI WAKE".
Wewe sio saizi yangu. NimekupuuzaFasihi haina umbo hata uzi huu pia umejibiwa kifasihi pia povu la nini sasa
Kwani hata sisi tulioitwa mbwa no mbwa kweli lakini tumekubali jina la mbwa na haswa sisi CDM na wapinzani wengine ni Mbwa kifasihi sawa
Nandio maana mwandishi amejibu kifasihi sawa yeye ni mbwa ila ametohoa kwamba Gwajima yeye ndie mbwa zaidi maana kafupiwa fupa lanyama kasahau utume ... au si ni fasihi tu
Daah, mkuu umeandika ukweli mtupu.wahuni tu hawa.Kwako GWAJIMA
Kwanza tulianza kusikitishwa na video zako za ngono na wengine tukiamini wewe ni mtumishi wa mungu
Leo umeita wananchi (MBWA) hadharani kumsherehesha aliye kupa ubunge wa kuteuliwa
Napenda kukwambia wananchi walio dhulumiwa uchaguzi kuumizwa kufungwa kuuwawa sio mbwa
Mbwa ni mtu aliye kuwa mtetezi wa watu lakini baada ya kutupiwa nyama na kusahau alicho kuwa ana hubiri
Mbwa ni yule aliye acha kuwa mtumishi wa kiroho na kuwa mtumishi wa chama na serikali
Kwa sasa unasema tuna bweka maana tayari una roho iliyo kuvaa Uzinzi /Madaraka/uongo
Askofu DESMOND TUTU alisha wahi kusema dini ni kama kisu unaweza kukatia mkate au kuumiza watu
Yawezekana kabisa unawaona waumini wako ni mbwa au mbuzi pale unapokaa madhabahuni kwa dini iziizi zimekuwa mlango wa kupumbaza na kuhalalisha mateso kwa wa Tanzania kama walivyo fanya enzi za wakoloni
Gwajima ao mbwa wanao bweka ndo walio shinda uchaguzi ngazi zote ila ukapewa wewe ubunge haramu kwa nguvu ya dola
ukaenda kuapa kwa Bible ileile inayo unayo tumia madhabahuni kuubiria haki
Ao mbwa ndo wanao kuletea sadaka hatimaye umekuwa tajiri wala uwaoni ni watu tena
Ao mbwa ndo wanao lipa kodi mishahara inalipwa apo bungeni ndo maana ukujali ukaapa kuingia kwa jasho damu na dhulma
Gwajima sisi mbwa tunakuuliza kuna mahusiano gani kati ya shetani na icho chama unacho kitumikia sasa?
Gwajima sisi ma mbwa tunakuuliza umeyaona haya yakitokea mauaji mateso kwa wapinzani uka kaa kimya kumbe ulikuwa unaona ni ma mbwa wana teseka?
Ivi nani mbwa kati ya yule aliye wekwa ndani kwa tuhuma za madawa ya kulevya baadae kidogo baada ya kuwekewa tonge mdomoni ndo anawalamba miguu?
Sisi mbwa atuta choka kupiga kelele ndo kazi yetu maana sisi ni bora kuliko mbwa aliye pewa mnofu atulie kimya.
Mjinga ujingani! U Nani hasa Hadi uwafananishe binadamu wenzako na wanyama? Usisahau kuwa hii nchi no ya wote na Kama wananchi ni mbwa, hao viongozi wao watajitofautishaje maana wametokana na wananchi!Yesu alifananisha watu na mbwa sembuse Gwajima!!acheni nongwa za kitoto.