Uchaguzi 2020 Gwajima: Mtia nia CCM anayewaumiza vichwa Chadema

Sadaka za Waumini mnazitumia vibaya, hata malipo haya amechota hapo.
 
Gwajima kugombea kwake ni kisiasa zaidi, biblia ni kanisani, kuwaambia waisalam waokoke ndio ubaguzi?
 
Ni kama unapiga kampeni vile! Mtu akikusoma katikati ya mistari anaona uko karibu sana na Gwajima au labda yeye mwenyewe kakuandikia. Umetoa taarifa za ndani mno hadi kujua alikuwa mwanachama kuanzia lini.

Kauli za Gwajima hadi juzi juzi tu alikuwa haipendi kabisa CCM. Hatujui nini kimemtokea kubadili gear angani. Mahusiano yake na chama umeyapamba kupita kiasi na kupita ukweli ulio wazi mno.
 
Asee kwa mambo yafuatayo,Gwajima atawezana kweli?
1. Tuhuma za uzinzi na kuvunja ndoa za watu
2.Kuhamasisha ukabila.Kumbuka ni kweli wasukuma ni wengi sana nchi hii,hili jambo likifanikiwa,nchi hii itavunjika vipande vipande.
3. Kwa kauli yake mwenyewe,nafasi ya ubunge ni ndogo sana kwake,je kwa nini ameitamani?
 
Umesahau kwenye wasifu kusema ni Tapeli
 
lingekuwa jimbo jingine kwa kweli Gwajima angeweza kushinda.

Kawe ni habari nyingine. kaja Bashite kamwaga mpunga kila kona kama wote. watu wakapokea, wakashukuru, wakamdeku kiaina halafu wakaulizana "what's the catch?. Kawe siyo watu wa kispotispoti.

wapiga kura wa Kawe wanajulikana kuwa ni watu wanaojitambua.... nakwambia Gwajima hawezi kupata hata 20% ya kura.
 
 

Attachments

Hata nyie waislamu hamtupendi mnatuita makafiri.
Ngoja naye ashinde mpate kulionja joto la jiwe.
Tuone makafiri halisi ni wakina nani.
Gwajima naashinde tuwatese na nyie .

Mtakula nguruwe kwa lazima
 
Hivi umesahau kuwa Gwajima amewachimbia waislam maji misikitini au unajitoa ufahamu?
Waislamu ni wanafiki hawanaga shukurani wanapenda visa,ugomvi,na niwachokozi , angali nchi zao ambao wako wenyewe hawana maendeleo ni vita tu masaa yote na kuchokoza nchi zingine.
Kwa hiyo ni bora kuwasema vibaya kmna kuwapa mipasho.
 
Huyu aliwahi kusema kwamba hawezi kujishusha hadhi kwa vyeo vya udiwani, ubunge, na hata uraisi kwa sababu ni vyeo vidogo sana kwake . Kwa nini sasa anataka ubunge ???. Huyu ni moja kati ya matapeli wa kisasa katika nchi hii.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…