The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,959
- 13,429
Askofu Josephat Gwajima sasa kaisha. Kwanini hakujifunza toka kwa Jobless Ndugai juu ya kutotabirika kwa mama yao?
Alijionyesha kama mtu anayejiamini kumbe mwoga wa kawaida!
Ajirokeze na kupayuka kama mrume kweli tumuone.
Japo alikuwa na hoja, hali ilivyo ni ukweli kakimbia hoja na kuangka chali kidini na kisiasa.
Aliphatic anawatumia CCM asijue watamstukia na kumkomesha.
Sijui kama anajua kilichowatokea akina Edward Sokoine, Aboud Jumbe, James Mapalala, Kasanga Tumbo, maalim Seif, Horace Kolimba na wengine.
Ama kweli, ujanja mwingi mbele kiza.