Gwajima kafia wapi au kamezwa na Polepole?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,428
Pamoja na makeke na mbwembwe zake, Gwajima anaonekana kutoweka kwenye ramani ya dini na siasa za Tanzania. Yuko wapi mbona hafurukuti tena kama mwanzo?

Je kamezwa na Polepole au polepole anatoweka kwenye ramani ya Tanzania baada ya kujichanganya akidhani angeweza kuitapeli CCM asijue itamtapeli au watatapeliana kwenye mchezo huu wa kuuziana dhahabu feki kwa kulipana fedha feki?

1755109192533.png
 
Kuomba huwa kunapendeza ikiwa mnapokezana.

Tofauti na hapo hizo ni kelele.

NB: Gwajima hawezi kufa Leo wala kesho kwa chuki na husda za mapepo nusu mtu nusu binadamu.
 
Gwajima kipawa chake kanisani kwenye siasa kajichanganya
 
Walioko siasani ndio hao hao walio kanisani hivyo wote wanahitaji injili na kukemewa DHAMBI zao ikiwamo wizi wa kura na utekaji, ubadhilifu nk nk
 
Haiwezekani kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja

Kama ni kanisani kama ni siasa siasa
 
Mbona ndani ya CCM wote hakuna kwenye kipawa cha uongozi
Sema baadhi wewe una uelewa mdogo mno huo utafiti wako wa viongozi wote wa CCM uliufanya lini ?

Ungekuwa chuo Profesa angekupa sifuri
 
Pamoja na makeke na mbwembwe zake, Gwajima anaonekana kutoweka kwenye ramani ya dini na siasa za Tanzania. Yuko wapi mbona hafurukuti tena kama mwanzo?

Je kamezwa na Polepole au polepole anatoweka kwenye ramani ya Tanzania baada ya kujichanganya akidhani angeweza kuitapeli CCM asijue itamtapeli au watatapeliana kwenye mchezo huu wa kuuziana dhahabu feki kwa kulipana fedha feki?

Subiria hilo kolabo lijalo kwani umesikia wako segerea?
 
Back
Top Bottom