Ahead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 2,377
- 2,675
Yaani maumivu niliyonayo hapa hayaelezeki,toka wiki iliyopita najiuliza nipo Tanzania au nimetekwa na mimi nipo nchi zingine zisizokuwa na umoja wa kitaifa kwa dini na makabila yote,kinacho nitafakarisha ni juu ya kufungia makanisa ya Gwajima,
Japo mimi sijawahi na sio muumini wake ila nimeona tumedharauliwa na kutukanwa Wakristo wote,na ndio maana nawaambia watawala mlitutesa kwenye miili yetu sasa mmetugusa pabaya(rohoni)
Wakristo wote,na kama kanuni inavyosema kwa kila jambo huwa kuna matokeo yake,basi kwa hili la Gwajima myatarajie matokeo hayo kwa ukubwa wa ukristo sio Gwajima pekee.