Nikii tazama ccm Kama itatokea wata pata na fasi Tena ya kuiongoza inchi Basi huyu ndiyo mtu pekee ambaye Ana weza kustahili nafasi hiyo
Nimeanza kumfuatilia tangia kile kipindi Cha chanjo za korona msimamo wake,mtazamo na Na maoni yake nilikuwa vina fikirisha Sana