kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,625
- 12,168
Anaongea kwa kujiamini kwa kuwa mfuko wake umejaa. Alicheza na dini mpaka akaujaza mfuo, sasa yupo kwenye siasa kujazia jazia.
Una uhakika au unasukumwa na Udini?Awamu ya tano hakuyasema haya