Kibaraka utamjua tuu.Mbona huchukii wanasiasa wanaojiingiza kwenye dini,huyu jamaa hana matatizo yoyote wanamchokoza wenyewe,
HahahaKibaraka utamjua tuu.
ana magari..nyumba nzuri...mke...watoto...fans...na ufeki wake..bado mie na wewe sasa tutafte ufeki wetu tuwe na maisha mazuri
Mahudhurio yalipungua na sadaka pia zikawa haziridhishi bashite kampa fursa Tena.tunasubili kwa hamu
Acha ujinga huwezi ongelea siasa ukiacha dini makatazo ya sias na ya dini yanafanana uyofauti ni sehemu ya kutumikia adhabu itokanayo na kosa ulilo tenda,mfano sisi imani yetu inatuaminisha kuwa ukiiba utakwenda motoni upande wa siasa ukiiba utakwenda jela nafikiri umenipata.Hivi huyu jamaa ni nani kwa nchi hii!? Na ana nguvu gani?
Binafsi namchukia kwa kujiingiza kwenye siasa badala ya kujikita kwenye dini.
Tutawatambua kwa matendo yao. Huyo tapeli mwenzake wa Afrika Kusini kamchimba mkwara kuwa atakufa. Ngoja tuone mapepo ya nani yana nguvu zaidi.
.....Anasema " Single touch...Hivi huyu jamaa ni nani kwa nchi hii!? Na ana nguvu gani?
Binafsi namchukia kwa kujiingiza kwenye siasa badala ya kujikita kwenye dini.
Nani kakwambia sina magari,nyumba,mke na watoto?ana magari..nyumba nzuri...mke...watoto...fans...na ufeki wake..bado mie na wewe sasa tutafte ufeki wetu tuwe na maisha mazuri
umechoka wewe na mmeo ....boya weweTushachoka..,,same issues hamna jipya!
Wewe huyo ni mumeo lazima maana usingemtetea kwa matusi, jitu zima usio na kazi huna mbele wala nyuma! Stupid idiot! Kwa sababu unavaa suruale ndiyo unajiita mwanamume? Hakika wewe ni mwendawazimu wa head Papushikashiumechoka wewe na mmeo ....boya wewe