Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 5,263 Reaction score 7,187 May 9, 2019 #21 Tutarajie Gwajima uchumi wake kupanda Simnajua makondoo yalivyo Hayasikiagi lolote wala chochote NB; Kondoo ni kondoo tu hawezi kuwa mbuzi
Tutarajie Gwajima uchumi wake kupanda Simnajua makondoo yalivyo Hayasikiagi lolote wala chochote NB; Kondoo ni kondoo tu hawezi kuwa mbuzi
S suluti Member Joined Mar 25, 2015 Posts 79 Reaction score 61 May 9, 2019 #22 Kitu chochote kikikaribia lens ya camera kitaonekana kikubwa Andie said: unajua hata mimi pale kwenye mkono nimestaajabu, kweli Gwajima anaweza kua na mkono wenye misuli kiasi kildm ?! Click to expand...
Kitu chochote kikikaribia lens ya camera kitaonekana kikubwa Andie said: unajua hata mimi pale kwenye mkono nimestaajabu, kweli Gwajima anaweza kua na mkono wenye misuli kiasi kildm ?! Click to expand...
B Blue Iron JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 497 Reaction score 301 May 9, 2019 #23 Hahahahahaa Waterloo said: Nyie ndo wale mlionyweshwa jiki kule Zambia na mchungaji mkaambiwa mtaenda mbinguni mkafa kama kuku wenye kideri. Click to expand...
Hahahahahaa Waterloo said: Nyie ndo wale mlionyweshwa jiki kule Zambia na mchungaji mkaambiwa mtaenda mbinguni mkafa kama kuku wenye kideri. Click to expand...
zacha JF-Expert Member Joined Feb 28, 2009 Posts 1,216 Reaction score 1,917 May 9, 2019 #24 Mimi kilichonikwaza ni mtumishi kukosa pumzi... Yaani dkk 2 unahema vile........
walitola JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 4,841 Reaction score 5,667 May 9, 2019 #25 Hakuna mkamilifu chini ya jua mwacheni ale raha kwani kuna mtu ambaye afanyi
Lokissa JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 7,445 Reaction score 2,509 May 9, 2019 #26 Mna hukumu sana as if hamjawahi tends dhambi. Wote tu wadhambi. Uso Ungekua unasoma Madhambi yetu dunia isingekalika
Mna hukumu sana as if hamjawahi tends dhambi. Wote tu wadhambi. Uso Ungekua unasoma Madhambi yetu dunia isingekalika