Ni wakati wa Serikali kurudi kwenye masijara na kuangalia usajili wa kanisa la Ngwajima aka mzee wa Single Touch Double Manifestation kama alisajili kama kanisa au tawi la kisiasa la .......
Ndio maana shida na umasikini umewajaa. Gwajima anazidi kutajirika waumini mnaenda kusikia umbea mwishoni mnatoa sadaka. Wewe unatoka zero.
Diamond is a
Hamna chochote yule mkimsema vibaya ndio kwanza anatajarika
Diamond ni entrepreneur and he knows what he is doing
Tuhuma za uzinzi nan uaSherat mara nyingi huwa ni siri sasa we mwenzetu umeamua kutoa siri zako na gwajima au! Maana hakuna mwenye kudhihirisha uasherati na uzinzi zaid ya mtendwa au mtenda.