bleedingsouls
Senior Member
- Jul 16, 2015
- 123
- 108
Gwaji ni nomaLazima waombe poo
Anaibiwa tu! Watu wanampiga "mbuzi kagoma" deile.... Hivi ameshafunga ndoa na yule mganda au bado wanapasha?
"Kueza" ndio nini?EHE MWENYEZI MUNGU WAPE WATANZANIA ROHO YA UELEWA NA UTAMBUZI,! NAJUA BABA WENGI WALIKOSA ELIMU YA KUJIAMINI NA KUKOSA MSINGI IMARA WA KUJIKUBALI! EHE BABA WAPE ROHO YA HEKIMA NA BUSARA! BABA UKWELI WANA ROHO ZA KUPENDA USHABIKI,KUFATA MKUMBO,UMBEA,KUTOCHAMBUA MADA,KIUFUPI WENGI NI BENDERA FATA UPEPO! NI ROHO TU IZO BABA!, ZITOE BABA!DEAR GOD WAPE UWEZO NA UPEO WA KIMAWAZO JAPOKUWA ELIMU YAO NDO CHANZO CHOTE ILA WAEZA BABA! BABA WAUMBIE AKILI MPYA WAPE UWEZO MPYA! FUNGUA ROHO ZA TAMBUZI KWAO BABA! NAJUA NI KAMA TOO LATE MANAKE WENGI WAO NI MENTALLY DISORDERED THEIR ,OBLANGATA ALREADY BRAIN- PICKERS/BRAIN TRUST/BRAIN-PAN/BRAIN FLAGs! ILA WEWE WAEZA BABA! AMEN!
Hata JF ni kanisa langu, ninayo mengi, hata mtaani kwenu yapoAnzisha kanisa lako mkuu.
Ila huyu Mchungaji muflis kabisa baada ya kuhubiri issue za msingi na kukemea mapepo anageuza siku ya ibada kuwa uwanja wa siasa na kuhusu visasi hao waumini wake wanakazi kweli sijui sijui neno la Mungu alilotumwa kalisahau
Lakini maji yana thamani kuliko almasi....kila mtu anayatumia....mpaka kutawaza..almasi wengine hatujawahi ionaHatimae Almasi imeomba isigeuzwe maji
Shetani katka udhaifu wakoHata JF ni kanisa langu, ninayo mengi, hata mtaani kwenu yapo
Ndio maana almasi imeomba poo ili isiwe maji isitazwe na kila mtuLakini maji yana thamani kuliko almasi....kila mtu anayatumia....mpaka kutawaza..almasi wengine hatujawahi iona
Kwani km Gwajima mpuuzi huyo mjanja wenu Domond hakuona wengine wakuimba hadi amuweke GWAJIMA??mnakaa eti diamond diamond go to hell....Gwajima mpuuzi tu
Wewe mchungaji lakini kutwa kushadadia mambo yalipuuzi!!
Waumini wa Gwajima wanasafari ndefu!
Haendekezi unafiki kama wewe!Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali
Anzisha lako wewe!Siri gani Diamond anayo. Huyo Gwajima anatumia kanisa vibaya visasi tu
Diamond is a king
Kashaomba radhHahaha...nchi Ina vituko hii....ngoja ninunue hisa voda mgao nadhani utakuwa mkubwa tu.....!kwani kuna mtu kanunua ugomvi nae?km kamtaja bora akaombe radhi tu yaishe maana.......
UnajisumbuaNi wakati wa Serikali kurudi kwenye masijara na kuangalia usajili wa kanisa la Ngwajima aka mzee wa Single Touch Double Manifestation kama alisajili kama kanisa au tawi la kisiasa la .......