Utapeli wa kidini?Bila shaka hii ni kuelekea uchaguzi mkuu:
View attachment 3096549
Bila shaka itakuwa ni habari njema sana hii kwa wale wa Israel wa kwetu.
Bahati mbaya alipofariki Mama yake Mzazi, huyo huyo Gwajima alishindwa kumfufua hadi leo hii anaomboleza Msiba wake
Wajinga ndiyo waliwao
Ila cha kushangaza huo umati unaamini. Na wanampa pesa Gwajima. Kweli wajinga ndiyo waliwaoBila shaka hii ni kuelekea uchaguzi mkuu:
View attachment 3096549
Bila shaka itakuwa ni habari njema sana hii kwa wale wa Israel wa kwetu.
Kuna Vifo vya kichawi yaan kuchukuliwa msukule (kiini macho)na Kuna kifo halisi.Bahati mbaya alipofariki Mama yake Mzazi, huyo huyo Gwajima alishindwa kumfufua hadi leo hii anaomboleza Msiba wake
Wajinga ndiyo waliwao
Kifo is real na hakina substitute kikikuita HAUKATAI.Angemfufua Magufuli kwanza 😊👋🏾
Amekwendaje hapoBila shaka hii ni kuelekea uchaguzi mkuu:
View attachment 3096549
Bila shaka itakuwa ni habari njema sana hii kwa wale wa Israel wa kwetu.
Unawezaje kutofautisha Kifo cha huyo binti ni cha kichawi halafu cha Mama yake Gwajima kilikuwa Kifo halisi?Kuna Vifo vya kichawi yaan kuchukuliwa msukule (kiini macho)na Kuna kifo halisi.
Jifunze kutofautisha
Video ya muda sana hata kabla JPM hajavuta kamba
Sijawahi kuwaamini hao Manabii tangu nifahamu utapeli wao