Gwajima, acha kumdhihaki Rais

Achana na hiyo mara ya kwanza aliambiwa kajenga eneo la barabara
 
Wakati wa mchakato wa kugombea nafasi ya kupitishwa kuwa mgombea wa u Rais kupitia CCM, JPM kwa rekodi za kiutendaji kazi alikua akiwazidi wengi kama si wote ila kwa macho ya Kibinadamu hakuonekana kama ni tishio kwa wengine aliokua aki shinda nao.
Ata kupata wanachama 200 kila mkoa wa kumu unga mkono ilikua shida. Baadhi ya wenzake walikua na fungu la kutosha kuwashawishi wanachama. Ni mbaka pale Mungu alipo ingilia kati kila mtu akabaki anashangaaa. JPM ali ibuka mshindi kwa nguvu na uwezo wa Mungu ili alivushe taifa ili kutoka katika umaskini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika ni chaguo la Mungu tena huyu mwanaume anaonekana ni nabii,kama ameweza kufanya utafti na kuonyesha vifaa vya wazungu vinatowa majibu ya uongo kwenye samples za corona kwa nini asiwe chaguo la Mungu.Majirani zetu wanajitapa kuwafungia ndani wanainchi wao bila hata kutafiti side effects.Big up JPM huwa hufanyi maamzi bila tafti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika ni chaguo la Mungu tena huyu mwanaume anaonekana ni nabii,kama ameweza kufanya utafti na kuonyesha vifaa vya wazungu vinatowa majibu ya uongo kwenye samples za corona kwa nini asiwe chaguo la Mungu.Majirani zetu wanajitapa kuwafungia ndani wanainchi wao bila hata kutafiti side effects.Big up JPM huwa hufanyi maamzi bila tafti

Sent using Jamii Forums mobile app
 

You have a point, ndugu...

Kabisa, hapa kuna hoja ya kujadiliwa...

Nikipata nafasi nitarudi kuchangia kwa kirefu...
 
Titus Amigo, padre katoa waraka

Utafuteni utasaidia kurembesha uzi huu
 
Gwajima Hana kosa,maandiko yanasema,mamlaka zote hutoka kwa mungu
Kasome historia ya Sauli aka Paul..hakuwahi kuwa na Yesu wala wale mitume 12..Hayo maneno angesema Yesu kweli..Paul mpiga deal kama hawa wakina Gwajima tu
 
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
 
Reactions: 30P
Kakobe aliyataka. Majivuno yalimponza.
 

Unatia huruma sana!
 

Mcheza Pono Mkono wa Baunsa anadondokea pua asubuhi mapema tu kabla mihogo ya kukaanga na vitumbua havijaisha.
 
Mbona hujaielewa mada? Mamlaka ni nini maana yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu anaweza wapa rais mpole mwenye baraka kama kubariki taifa wanachi mkafurahia maisha yenu,Mungu huyo anaweza wacagulia rais katili mwenye laana ili kupatiliza taifa ambalo limemuudhi.Nakubaliana na wanaosema Maguffuli ni chagua la Mungu lakini kila mtu anajua katika zama zip za laana kwa taifa au baraka ukiangalia maisha yetu utapata jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…