Gwajima, acha kumdhihaki Rais

Gwajima, acha kumdhihaki Rais

Tuna kiongozi shetani na serikali ya kishetani ya ccm
 
Huwezi kuta makanisa yenye usajili wa wino wa pencil yakawa against chama cha ujamaa.Wote ni lzm wawe makada watiifu ili waishi.
 
So what ?
Vitisho viko wapi kwenye hoja yangu? Na kijakazi na beberu ni Nini?
Usichanganyikiwe kihivyo, tulia na tafakari kabla hujajibu hoja ya mtu! Ona unavyopaniki. Hii ni dalili ya kuwa uwezo wako kichwani upo chini ya kiwango kinachoruhusiwa kuwa member hapa jf! Yakupasa kujifua Sana kielimu ili angalau ufanane na wajuvi wa hapa!
 
Kama kuna Mtanzania ambaye si tu anamdharau bali pia anamsanifu kuliko Maelezo Rais Dkt. Magufuli basi ni Askofu Gwajima.
 
Gwajima is Right, Magufuli ni chaguo la Mungu kwa Tanzania!.

Naunga mkono hoja ya Gwajima kwa sababu Tanzania ni taifa la Mungu, sisi Watanzania ni watu wa Mungu, hivyo viongozi wetu sio tuu ni chaguo la Mungu, bali pia ni miungu wadogo.

Hapa ndipo Magufuli alipotokea
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Uthibitisho kuwa Magufuli ni chaguo la Mungu ni huu
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

P.

Kweli Tanzania tuna mungu wa hovyo sana, kama alimchagua magufuli basi huyu kweli ni mungu wa mwendokasi
 
Gwajima hajakosea

Rais Magufuli ni chaguo la Mungu

Rais Magufuli ni Rais bora kwa sasa Africa and duniani

Kwa hili la Leo naanza kumwelewa elewa. Kuna kitu anacho ila sisi kwakuwa hatumpendi hatumwelewi.

Yaani Leo baada ya kusikia nikapigwa na butwaa baadae nikasoma nukuu za Pasco naona Kama namwelewa hivi, ngoja nitulize akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatambua lakini kabla na hata baada ya uchaguzi mkuu wa 2015 Askofu Kakobe alikuwa ni mkereketwa wa Chadema kama alivyokuwa mwenzake Gwajima?

Ila tangu aandamwe na serikali kwenye suala la kodi na suala la uraia wake (natambua hakuwa na hatia) aliamua kukubali matokeo kwa kuunga mkono juhudi za awamu ya tano ili kuondokana na misukosuko mbalimbali bila shaka! Mimi sihitaji kusemewa/kutetewa na hao viongozi wa dini maana ninaweza kujisemea/kujitetea mwenyewe.
Kakobe hakuanza kuandamwa awamu ya tano tuu, huko nyuma kipindi cha NCCR Mageuzi iko katika piki kanisa lake lilipigigwa X nyekundu karibu 98% ya kanisa. Nilikuwa naweka rekodi saw tu inawezekana wengine mlikuwa wadogo
 
Juzi aliomba mabeberu watufutie madeni,Leo mabeberu wanatuhujumu kwa kushirikiana na watu wa maabara
 
Kakobe hakuanza kuandamwa awamu ya tano tuu, huko nyuma kipindi cha NCCR Mageuzi iko katika piki kanisa lake lilipigigwa X nyekundu karibu 98% ya kanisa. Nilikuwa naweka rekodi saw tu inawezekana wengine mlikuwa wadogo

🤔 wengine "walikuwa wadogo" bila shaka. Binafsi mwaka1992 tayari nilishakuwa kidume mtaani. Nashukuru kwa kuongezea nyama.

Ingawa ninacho kumbuka hiyo alama ya ❌ilikuwa ni juzi tu hapa wakati wa JK pale serikali ilipotaka kupitisha umeme mkubwa kupitia ile barabara ya Sam Nujoma (Ubungo - Mwenge) lakini Askofu na wafuasi wake wakatia ngumu mwanzo mwisho kwa kushinda kanisani masaa 24 kila siku.
 
Yap!
Kuchaguliwa ni tofauti na kubarikiwa baraka njema.
Bado uko pale pale mkuu,Abraham alibarikiwa,,lakini hakuona tabu kumuuza Sara Kama dadake ili farao au king Abimael alale nae I'll yeye akamate ugoni,
Daud nae nasikia alibarikiwa,ila alikuwa na vituko,mmojawapo Ni ku masturbate mbele ya mrembo mmoja,simkumbuki huyo bibie Ni Nani,Kama sikosei akaja kuwa mkewe na pia mama wa mfalme solomoni
 
Back
Top Bottom