and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,194
- 39,646
ulivyoleta mada kama kajike
Hiyo ni press ya waziri mkuu jana alikua anatumia guys kwenye kila sentensi.Kaza mkuu, punguza mideko mjini kuna abdul
Exactly 💯 we muache tu atapewa muogo wa jang'ombeKaza mkuu, punguza mideko mjini kuna abdul
Hawakumsikiliza. 🤣🤣🤣Hiyo ni press ya waziri mkuu jana alikua anatumia guys kwenye kila sentensi.
Kesho atasema Neema sio mke wangu guysMke wangu anaitwa Neema sio Ester guys.