Guys; Don't take girls too serious... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Guys; Don't take girls too serious...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Mar 7, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kwanza nianze kwa kutahadharisha kuwa kwa thread hii sina nia ya kuwa-abuse wanawake, wala kuwavunjia heshima.

  Nawapa somo wanaume wenzangu out there ambapo mara kwa mara nawasikia na wengine wamejitokeza hapa kuomba ushauri jinsi ya 'kuwatongoza' wanawake fulani. Mbinu mojawapo na rahisi ni kuwa 'Don't take them too serious'. I am talking from experience since nianze ishu za mapenzi takribani miaka 20 iliyopita.

  Tatizo kubwa la baadhi ya wanaume wanawachukulia wanawake siriaz mno. Tangu nikiwa shuleni, nilikuwa nashuhudia baadhi ya wanaume waliokuwa wana 'waheshimu' mademu zao kupita kiasi. Hawa ni wanaume ambao siku zote ilikuwa ngumu sana kuongelea ngono na mademu wao, kwa hofu kuwa watawauzi, au wataonekena players. Hata hivyo hawa ndo wanaume siku zote walokuwa wakiishia kuitwa 'washika pembe' baada ya mademu zao kuwa wanakuja kumegwa na wanaoonekana maplayers.

  Unaweza kutazama katika jamii unayoishi au ulowahai kuishi, utaona kuwa wanawake wazuri sana huwa wanachukuliwa na wanaume wahuni wahuni hivi... why?

  Kosa moja linalofanywa na hawa wanaume wanaojifanya ma-lover boys wenye heshima, ni kuwa wanaamini kuwa kwa cares wanazotoa, au kwa ukarimu, upole na heshima ya hali ya juu, then ipo siku msichana atawavulia mwenyewe. Utakuta mwanaume yupo beneti sana na demu wake, wanasoma, au kustorisha pamoja, wanaenda kwenye nyumba za ibada pamoja, lakini haoni ndani, na ikitokea siku kapewa, basi huyo dada anataka tu kumshikishia mimba isiyo yake aloipa kwa jamaa mwingine huko...

  Point yangu hapa ni moja tu, kuwa mwanaume usiogope kuongelea ngono kwa mwanamke unayempenda. Usiogope ulokole wake, au yeye mtoto wa shehe, au nini, kama unampenda na unataka we ongea, ongelea maungo yenu ya ndani, hata kama mwanzoni atajifanya anakereka, lakini usiogope. Usishangae we unakaa kimya then unajakuta demu wako anamegwa kirahisi mno. Sihamasishi ngono haramu, bali najua asilimia kubwa ya wanaume walio kwenye mahusiano, wanataka wafanye ngono na wapenzia wao hata 'kwa shetani kuwapitia'. Lakini wengi wa wale wanaoshindwa, ni kwa sababu ya 'kujiheshimu' kupita kiasi.

  Wanawake wengi fahamu zao zinawaongoza wasifanye ngono kabla ya ndoa, lakini wengi wanashawishika kwa maneno, na hisia za miili yao, na stori za marafiki zao. Kwa hiyo kama sio wewe utakayemshawishi demu wako m-duu, then atashawishiwa na lijamaa lingine lililo karibu nae, na lenye utani 'usio na heshima', kila mara lamsifia na kumwambia wazi kuwa mi ningefurahi tu***.

  Hivi hamjiulizi kuwa hata mnapokubaliana, mwanamke ukienda nae chumbani kwa mara ya kwanza, lazima aonyeshe aibu fulani, kuvua, kuromance n.k lazima u-initiate? Hiyo ina maana kuwa mwanamke atajisikia free zaidi kumvulia mtu ambaye haonei aibu sana uch.i ama ngono, mtu ambaye hivyo vitu anaviongea sawa na anaomba soda. Lakini wale wenzangu na mimi mnaoanza kusema ...eeee, unajua, eee mungu aliumba viungo tofauti... tihi tihi ili vingine vigusane.... eee unajua dada nanihii natamani nanihii zetu zigusane... eeee jana usiku niliota tuko watupu, sasa sijui eeee... nitakwambia baadae kwenye msg....
  Ukianza kusema eee eee... anakwambia 'we, hebu acha kuongea mambo hayo, unajua Mungu hapendi, anakuchimba mkwara, unaishia kusema, sore dada, nilikuwa nakutania tu. Kamwe hutapata na siku ukipata ujue keshamegwa huko anahofu isiwe kapata mimba anataka kukusingizia.

  Manage your woman and have control over her (in terms of sex). Be pro-active and always Do not take sex as an abuse to woman (but if not authorized, it a sin to GOD and God only). Na usishangae unavyoogopa ogopa, siku ya siku akikupa 'Amdala kichwa wazi' akalala fofofo... Ohooo...
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Ndefu hiyo.
  Wanaume watakuwa wameelewa somo.
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  MMU na hadithi ndefu zinachosha bana nitarudi kumalizia baadae japo kuwa ni nzuri ial dah ndefu mno
   
 4. a

  atieno Senior Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fupisha hadithi kwa maneno yasozidi hamsini then nitarudi kuisoma
   
 5. M

  Matarese JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  someni bwana acheni uvivu na visingizio!
   
 6. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Not very.Lakini unafundisha vijana wadogo? maana naona una hamasisha tu uchakachuaji kwa kwenda mbele
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ukimaliza kusoma nipe hata kwa sentensi mbili, but from the tittle nanusa dharau kwa wanawake
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Atieno una vituko wewe umeweka na idadi ya maneno hii kali ya kumalizia jioni yangu nimecheka mpaka basi ndefu mno bwana aahh
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kama kawaida yetu wavivu wakusoma tunasingizia sijui ndefu inachosha kusoma
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Afupishe kwani kitendawili au methali hiyo???
   
 11. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hivi hawa watoto wa dot com ch*pi mkononi kuna haja ya hizi stori ndefu kweli. Leo mi ukiniambia mtu haoni ndani eti sababu anamuonea aibu demu(sorry D na wengine) wake nitashangaa sana. Kwanza siku hizi totoz zinakuimbisha wewe.
   
 12. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tuko
  Hadithi yako inatufundisha nini?
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kama unadhani aibu ni gharama jaribu fedheha
   
 14. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,442
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Mkuu ime2lia hiyo kwa mwenye kuifata aifate iko poa. Ndefu ndo nzuri ukimaliza kusoma unalala kabisa.
   
 15. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  TF nimekukwaza??
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hamna mkuu all is well najaribu kurefer signature yako kwa mtoa mada
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Shule nzuri.....:wink2:
   
 18. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mh nakuja ngoja nipak hii ki2 :car:
   
 19. Yahemovich

  Yahemovich Senior Member

  #19
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli mkubwa umenena.
   
 20. Yahemovich

  Yahemovich Senior Member

  #20
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  au ndo umeguswa hako kamchezo huwa unamfanyia sh**
   
Loading...