Gurudumu la Maisha ya Mwanadamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gurudumu la Maisha ya Mwanadamu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mama Mdogo, Oct 31, 2012.

 1. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,745
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Ndugu mwana JF, ebu angalia huu mchoro utafakari jinsi gurudumu la maisha ya mwanadamu linavyomwongoza tangu kuzaliwa hadi kurudi kwa muumbaji wake. Tafakari na halafu chukua hatua, waheshimu binadamu wenzio. Hapa duniani ni mapito tu, na kila mtu na gurudumu zake.


  Wheels of Life.jpg
   
 2. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,114
  Likes Received: 6,861
  Trophy Points: 280
  Aiseeee!!!!!!!!!!! Life is a cycle, wengine twaishia kwenye basikeli/Bodaboda na pikipiki na kurukia kwenye stage zingine!!!!!!!!(We cant afford cars)
   
 3. epson

  epson JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 487
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  busy searching network
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,295
  Likes Received: 4,264
  Trophy Points: 280
  kuna wengine humu wamebakisha stage 3 tu hahaha
   
Loading...