Guru la Sheria (Halima Mdee) ameishinda Kamati Kuu ya CHADEMA

Kamati kuu haijaugusa ubunge wao bali imewafukuza kwa kushindwa kuitikia wito wa viongozi wao (insubordination), kwa kifupi wamejitenga na chama.
 
Wewe unapaswa kupuuzwa mpaka na wendawazimu. Sorry sijasoma ulicho kiandika.
 
MATAGA ilipokuwa Oktoba: "wabunge wa Chadema ni wapinga maendeleo, wasumbufu bungeni afadhali hawapo na bunge litakuwa live"

MATAGA ilipofika November: "Tunawapongeza wabunge wa Chadema kuonesha uzalendo kwenda kuapishwa. Sasa tuchape kazi"

MATAGA/UVCCM ubongo wao ni 'ki WONDER' cha kuchakata upumbavu duniani
 
Umechambua vizuri sana, hiki kikundi kinavyopotea na sawa na NCCR au CUF ilivyopotea. Ila wao hawawezi kuliona kwa sababu sikio la kufa na kwa sababu ni mashetani
Ikiwa unajuwa kuwa ni mashetani, ulipaswa kufurahi pindi COVD-19 walipovuliwa uwanachama, maana hiyo inawapa furusa ya kui"neutralize " CHADEMA.
 
Halima gwiji wa sheria ipi?

Hata kwenye registration tu hayupo.
Kesi ipi amewahi kuisimamia?
Kuwa mwanaharakati haikufanyi uwe gwiji wa mambo mengine.
Na ugwiji wake kwa hili jambo hapo uko wapi?

Na kama sikosei according kwa katiba ya CHADEMA mambo ya chama yanamalizikia kwenye chama. Ukipeleka mahakamani by default umejifuta kama zitto kabwe. Aende tuone. Atakua mbunge wa mahakama labda
 
 

Attachments

  • IMG_20201128_200235.jpg
    61.4 KB · Views: 1
Hapana kwakweli mimi napenda mtu anisifie without any motive behind. Napenda mtu awe real, anyways ni mtazamo wangu siko sahihi..

Ila Uongo Uongo Uongo na unafki nauchukia sana
Na waongo wanaoongoza ni mataga na hapa JF anayeongoza ni njaa a.k.a Mayalla kisukuma
 
Ukiona mke CCM anaingilia mvurugano wa ndoa ya Chadema na kumsifia mume Chadema, jua ameshaliwa
 
Mleta mada umeprove kuwa takataka na Kansa ndani ya Chama chetu CCM. Tulinde katiba yetu sio matumbo yetu kama mleta mada. Binafsi nikiwa mwana CCM imara hata siwataki hao COVID 19 kuja CCM. Wakafie mbele hukoo.
 
Swala la kupewa mda wa kuandaa utetezi dhidi ya tuhuma zozote Duniani haliepukiki.
Tatizo hasira na mihemko inayochochea fukuto la tanuru liwakalo moto ndilo tatizo kubwa
 
Halima & Cos kuendelea na ubunge hadi 2025, chadema wakurupukaji hadi inauma.
CHADEMA wala hawaumii kwa akina Mdee kuwa wabunge wa Ndugai. Chama kilikuwa na hiari kuzitumia hizo nafasi 19 lakini waka bull shit. Kama Mdee na wenzie watakuwa wabunge wa spika, basi zile cheche tilizozizoea hatutaziona asilani. Nao watakuwa tawi tu la ccm.

Serikali ya Magu imeufyata kwa kujishusha kiasi hiki ili kutengeneza kambi ya upinzani bungeni. Huo ni ushindi kwa CHADEMA.
 
Tena waliopishwa kwenye ZIZI,
Mwapishaji alichanganyikiwa hadi wakasahau kuweka SIWA,ambalo ndiyo alama ya bunge,

Mbona MEMBE hamkumpa nafasi ya kujitetea?
Tena MEMBE alifukuzwa na mtu mmoja tu,na siyo kamati kuu.
 
Hao wanawake mngekuwa mnawapenda mngekemea matukio kama yale ya polisi kuwashika sehemu zisizostahili hadharani na pia mliowakata majina NEC na Kuwasweka Rumande! Kwa kuwa mlishindwa hapo suggestion zako ni null and void...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…