GUPTAGATE SCANDAL - Wajue wahindi waliomwangusha Jacob Zuma

GUPTAGATE SCANDAL - Wajue wahindi waliomwangusha Jacob Zuma

Pdiddy,Mnanangwa alikimbilia Msumbiji na si SA maana mpaka wa Zim na Msumbiji sio mbali na ndio alikoweza kutembea kwa miguu kwa masaa matatu huku akiwa amevaa hijabu alipofika Maputo ni rahisi kwenda Johannesburg asingeweza kupita Messina kivyovyote vile angeuawa maana Babu Mugabe maeneo hayo alikua na ngome kubwa sana ya kiuchunguzi ambayo hata Mnanangwa alikua anaijua...
Thxfor Info mkuu...NAONA FAMILIA IMEINGIA GUNDU
 
Rejebisha mwaka 19883 waliohamia.
Na wewe hapo rekebisha hio'rejebusha,
Kaulize Zimbabwe wanahelaa sana

Sema naona sana gundu..hata Zimbabwe kimewawakia

Kwamnaokumbuka huyu bwana ana ndege za kukodi Zimbabwe..wakati Mugabe analianzisha huyu Rais wa sasa akawa anatafuta njia ya kukimbilia safrica

Bahati mbaya akawapigia wakurug hao ndugu anaomba kukodisha ndege kwenda jnb

Wakamwambia atuwezi kuharibu mahusiano yetu ya biashara kwa shida za siasa zenu...tunaomba utafute njia nyingine

Jamaa.wakampitisha boda NA basi...shaah safrica

Amerudi jamaa Raisi....kilichoendelea kamuulize Gupta
 
Pdiddy,Mnanangwa alikimbilia Msumbiji na si SA maana mpaka wa Zim na Msumbiji sio mbali na ndio alikoweza kutembea kwa miguu kwa masaa matatu huku akiwa amevaa hijabu alipofika Maputo ni rahisi kwenda Johannesburg asingeweza kupita Messina kivyovyote vile angeuawa maana Babu Mugabe maeneo hayo alikua na ngome kubwa sana ya kiuchunguzi ambayo hata Mnanangwa alikua anaijua...
nasikia alitembea masaa matatu kwa miguu Na watoto wake wa tatu wa kiume wakimsindikiza
 
Thxfor Info mkuu...NAONA FAMILIA IMEINGIA GUNDU
siyo eti sisi wengine hatuwez kuwa matajiri tatizo connection. Akina Davis mosha ilikuwa connection Akina lugumi connection
 
Sasa ushawishi wao uko wapi wamemwingiza mwenzao kwenye matatizo nao wanasakwa ili wakamatwe.
Hawasakwi na hawajakamatwa labda kama hujabahatika kuona hiyo habari ktk luninga.
 
Gupta family ilikua inatumia ulinzi wa jeshi la police la SA mpaka pale yule mama alipopiga kelele kwa matumizi mabaya ya vyombo vya serikali,walikua wanamshaeishi nani awe waziri wa fedha kuna mwaka Zuma alimtoa Waziri aliebobea na kumuweka huyo alieshauliwa na Gupta family rand ilishuka kwenye soko la fedha mpaka ikafika rand 18 kwa USD 1 baada ya mwezi ikabidi amrudishe Mtaalam tena kwa kuwa bunge lilipiga kelele,Tenda nyingi za siraha za Serikali walikua wanapewa hao Gupta family na hasa za vifaa vya jeshi,wana kesi ya kutumia uwanja wa ndege wa jeshi kama binafsi kwa miaka kadhaa,kuwadhalilisha walinzi weusi waliokua wanalinda nyumba yao,kuhusika kwenye Scandal ya Nkadla ule ujenzi wa nyumba yake huko kijijini kiufupi wana scandal nyingi tusubiri hao HAWKS wawapandishe kizimbani maana Zuma mwenyewe ana kesi 897 za kujibu...
 
HAWKS walianza kuzingira nyumba yao majuzi na walitoa tamko kuwa hawapo kucheza maana walijua Zuma anaewabeba anaondoka hao hawks wanashughulika na rushwa kubwa na ujambazi wa kuteka Magari yanayosafirisha feadha,bank na business robbery...

Mkuu, nilikuwa nakufikiria jana uje ujazie nyama.
 
Wiki mbaya kwa viongozi mafisadi,
zuma chini,kule ethiopia nako chini,
netanyau nae kahongwa sigara kibarua kiko katika hati hati,

Trump nae anang'ang'ania tu ila akicheza nae atapigwa chini
 
Siku ya alhamisi ya kesho chama cha ANC walipanga kupiga kura ya kutokuwa na Imani na aliekuwa raisi wa nchi hiyo Jacob Zuma.

Kuona mipango hiyo imemuumbua zaidi na tena kwa aibu kubwa Jacob Zuma na washauri wake wakakaa kitako kupanga namna ya kuja na suluhisho na wakakosa hata suluhisho moja isipokuwa kwa kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 75 kujiuzulu.

Hatua hii na Jacob Zuma kuingia chumba cha habari kutangaza kujiuzulu kumetokana na kitendo ya kikosi maalum cha polisi wa Hawks katika kipindi cha masaa 24 yalopita kuvamia makazi ya wafanyabiashara wawili wenye asili ya kiasia waitwao The Guptas ambao wanahusika na raisi Zuma kwa namna nyingi za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka..

Vijana wa Hawks walivamia makazi ya wahindi hao yaliyoko sehemu ya Saxonworld na kisha kwenye ofisi zao zilizoko kweye kitongoji cha Santon lakini waasia hao hawajakamatwa.

Jacob Zuma anatuhumiwa kujhusisha na ufisadi na vitendo vya rushwa, kuidhinisha utoaji mikataba mbalimbali ya ujenzi na hata uteuzi wa baraza la mawaziri kwa shinikizo kutoka kwa familia ya akina Gupta ambao wanamiliki biashara za aina mablimbali nchini humo.

The Guptas ni nani?
4934BED500000578-5389549-image-a-23_1518615296203.jpg

Ajay kushoto na Atul Gupta. Picha kwa hisani ya getty images.

Ni familia ya kaka watatu Rajay, Atul na Rajesh ambae anafahamika kama "Tony" ambao walihamia nchini Afrika Kusini mwaka 1983 wakitokea kaskazini mwa India kwenye mji wa Utar Pradesh.

Wahindi hao baada ya kuisha kwa sera za kibaguzi za utawala wa makaburu, walianzisha biashara mbalimbali zikiwemo kompyuta, madini, tasnia ya habari, teknolojia na uhandisi.

Mwaka 2010 walianzisha gazeti liitwalo The New Age ambalo linalenga kumpamba na kumtukuza Jacob Zuma na mwaka 2013 kukknzishwa chaneli ya masaa 24 iitwayo ANN7 ambayo nayo ilikuwa ni ya kumpamba kiongozi huyo.

Wahindi hao walianzisha mahusiano na ANC na ndio walompa nguvu kubwa kiongozi huyo kupita uchaguzi wa mwaka 2009 ambapo aliteuliwa kuwa kiongozi wa ANC.

Mwanae wa kiume Jacob Zuma aitwae Duduzane anaongoza kampuni ya Sahara Computers jina likiwa ni la eno wanakotoka "the Zumas" liitwalo Saharanpor.

Mke wa tatu wa Zuma aitwae Bongi Ngema pamoja na mtoto wake wa kike inasemwa kwamba ni waajiriwa kwenye kampuni hiyo ya Sahara Computers.

Mahusiano wa Jacob Zuma na wahindi hao kulipelekea kupatiwa jina la Zupta na kuja kwa jina maarufu sana nchini humo.

Mwaka 2013 wahindi hao walishutumiwa baada ya kuwa walitumia uwanja wa ndege wa jeshi wa Pretoria kupitisha wageni wa sherehe ya harusi ya familia hiyo hivyo kukiuka taratibu na sheria.

​
Nikisoma habari hii,najaribu kufikiria Katibu mkuu wizara ya maji,Prof Kitila Mkumbo,alikuwa na maana gani aliposema,CCM ndio chama bora,na chenye Sera safi na itikadi kama ANC ya SA,swali langu kwake,CCM inaweza kufanya kilichofanywa na ANC SA?kama walishindwa "kuwavua gamba" makada wao,wataweza kumfukuza kazi Raisi,?
Ufisadi umewashinda,Chenge,Lowasa,Tibaijuka,Ngereja,majizi yote bado yapo chamani,
Itachukua miaka 10000,kwa CCM kukifika ANC kwa utendaji bora.
CCM inafanana na chama cha mabutu seseko wa Zaire zama zile,
 
Things fall apart
Kula wangekula, ila they have failed to cover their asses. Mpaka watu binafsi kutumia uwanja wa ndege wa jeshi huu ni ujinga.
Ishu nyingi zinaendeshwa kwa vimemo au recommendations za mkubwa lakini hazitakiwi kuacha alama, unabaki kusifiwa na kila mtu bila kujua undercarpet
 
Back
Top Bottom