Gunia moja

Gunia moja

LUGWA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
961
Reaction score
473
Tafakuri
FB_IMG_1624013836431.jpg
 
^Watarudi na lugha na maneno mazuri ya kuvutia, mathalani demokrasia, diplomasia, utandawazi, na kadhalika; lakini lengo kuu la mkoloni ni moja tu na wala halijawahi kubadilika kamwe -- kumfanya Mwafrika awe chini, yeye awe juu katika utawala, uchumi, siasa za ulimwengu, sera, na maendeleo -- kunyonya rasilimali za Mwafrika kadiri iwezekanavyo. Exploitation ndiyo msamiati pekee anaokubaliana nao Mzungu.

^Huu ni mwendelezo mchwaha (indirect continuity) wa ileile biashara ya Hamad bin Muhammad bin Juma bin Rajab el Murjebi maarufu kama Tippu Tip^ ~ Kujenga Taifa Bora, uk. 109
 
Back
Top Bottom