TB Joshua bado hajasema lolote?Ujerumani imeshinda ubingwa katika miaka inayogawanyika kamili
ustaarabu uliotawala...
Kumbe kichapo ni hujuma?Ujerumani wanalindwa kwa kuwahujumu brasil kwenye uwanja wao
Ujerumani imeshinda ubingwa katika miaka inayogawanyika kamili
Kumbe kichapo ni hujuma?
Sema msumari wa moto kwenye masaburi.Kikiwa kikubwa kama kile ni sawa na kumchoma mtu msumari moto kwenye
kidonda
Sema msumari wa moto kwenye MASABURI.
1954
1974
1990
2014
BAADA YA MIAKA 20 WALITWAA KOMBE,TENA IKAPITA MIAKA 16 WAKTWAA,JUZI IMETOKEA BAADA YA MIAKA 14.KWA MANTIKI HIYO BAADA YA MIAKA 12 IJAYO YAAN 2026 WATAKUWA MABINGWA TENA WA DUNIA
:llama: