Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,883
- 155,856
hongera mama pearl kwa kumpata mchumba!
Mnh............... Thread inaachwa tartiiiiiiiibuuuHongera mama pearl kwa kumpata mchumba!
hongera mama pearl kwa kumpata mchumba!
ukitaka kuongeza wabunge wa sisiemu ni lazima uongeze mikoa, wilaya na majimbo. bila hivyo hawaongezeki, wako kama matowashi.
Hawa waheshimiwa sina uhakikia kama huwa wanafikiria financial implications za kuanzisha Mikoa, wilaya and by implication majimbo mapya ya uchaguzi; na how maamuzi yao haya yanavyomuathiri mlipa kodi wa nchi hii? Wanapofanya maamuzi haya wao wanajali jinsi watakavyolindana kuweza kubaki kuwa wabunge na jinsi watavyoweza kuwazawadia marafiki zao kwa teuzi zao za uRC na uDC lakini hawafikirii gharama ambazo hubebwa na mlipakodi kwa kuwalipa hao wakuu wa mikoa na wilaya wapya pamoja na hao wabunge wanaoongezwa. Kuongeza idadi ya wabunge hakuongezi kasi ya maendeleo ya nch, bali kuongeza tija ya hao waliopo inaweza kuwa jambo la busara zaidi wakati huu ambapo wananchi wana hali ngumu sana ya maisha