GUKATUNI Gwa LEO

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,736
155,419
kpleo.jpg
 
Hivi hizi heka heka za kuanzisha mikoa ni harakatyi za kuuunganisha bara afrika au ndo tunazidi kujigawa kwa minajili ya kuungana? I thought tungekuwa na mikoa michache kupunguza gharama.
 
Hivi hizi heka heka za kuanzisha mikoa ni harakatyi za kuuunganisha bara afrika au ndo tunazidi kujigawa kwa minajili ya kuungana? I thought tungekuwa na mikoa michache kupunguza gharama.
 
ukitaka kuongeza wabunge wa sisiemu ni lazima uongeze mikoa, wilaya na majimbo. bila hivyo hawaongezeki, wako kama matowashi.
 
ukitaka kuongeza wabunge wa sisiemu ni lazima uongeze mikoa, wilaya na majimbo. bila hivyo hawaongezeki, wako kama matowashi.

hahaha ila kauli yako inakaukweli ndani yake...hivi matowashi sifa zao ni zipi?kuongeza masinagogi?
 
nia ni kuona kuwa serikali inakuwa karibu zaidi na wananchi,ebu fikiria kungekuwa na mikoa miwili tu Tanzania mkoa wa mashariki na magharibi? gharama zingepungua sana lakini je ukitaka kwenda mkoani mmmh tatizo. Na ukifika hapo mkoani utakuta foleni ndefu ambayo inguhudumiwa na mikoa zaidi ya 18.
 
Hawa waheshimiwa sina uhakikia kama huwa wanafikiria financial implications za kuanzisha Mikoa, wilaya and by implication majimbo mapya ya uchaguzi; na how maamuzi yao haya yanavyomuathiri mlipa kodi wa nchi hii? Wanapofanya maamuzi haya wao wanajali jinsi watakavyolindana kuweza kubaki kuwa wabunge na jinsi watavyoweza kuwazawadia marafiki zao kwa teuzi zao za uRC na uDC lakini hawafikirii gharama ambazo hubebwa na mlipakodi kwa kuwalipa hao wakuu wa mikoa na wilaya wapya pamoja na hao wabunge wanaoongezwa. Kuongeza idadi ya wabunge hakuongezi kasi ya maendeleo ya nch, bali kuongeza tija ya hao waliopo inaweza kuwa jambo la busara zaidi wakati huu ambapo wananchi wana hali ngumu sana ya maisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom