Inaonekana ulikuwa mbwinde kweli kweli. Hii habari ina zaidi ya miezi 3 we ndio unaileta leo?Mahakama moja nchini Guinea ya Ikweta imemhukumu kifungo cha miaka 8 gerezani aliyekuwa afisa mwandamizi wa serikali ya nchi hiyo Baltasar Ebang Engonga kwa makosa ya ubadhirifu wa fedha za umma.
View attachment 3455353
Bwana Engonga aliutikisa mtandao wa intaneti mwaka jana kwa sifa chafu baada ya kuvuja kwa mamia ya video za ngono zilizopatikana kwenye vifaa vyake vya kielektroniki vilivyokamatwa wakati wa uchunguzi wa makosa ya matumizi mabaya ya fedha za umma. Baadhi ya waliokuwamo kwenye video hizo walikuwa wake wa maafisa wengine wa serikali. Mbali ya kifungo cha miaka 8, Baltasar ametakiwa pia kulipa faini ya dola 220,000.
Rudisha ile dp ykoLizuri hili likaka, afu lina hela, cheo, Elimu, ndo maana limewala Ke wengi.
Afu hao wadukuzi hawajafukua vizuri mafaili, wangekuta anazowala vidampaa.
Linaonekana libasha kabisa hili li baltasar.
Lol ๐๐๐๐๐
cocastic naona ushalowana kabisaLizuri hili likaka, afu lina hela, cheo, Elimu, ndo maana limewala Ke wengi.
Afu hao wadukuzi hawajafukua vizuri mafaili, wangekuta anazowala vidampaa.
Linaonekana libasha kabisa hili li baltasar.
Lol ๐๐๐๐๐
Anapeleka moto au anapapasa?Muhimu kala mizigo kwa viwango vya juu, na nyie wanaume mjifunze kwake jinsi ya kupeleka moto ๐น๐น๐น
Kwanini best?Rudisha ile dp yko
Hii mbana sielewi kabisa mbayaKwanini best?
Lizuri hili likaka, afu lina hela, cheo, Elimu, ndo maana limewala Ke wengi.
Afu hao wadukuzi hawajafukua vizuri mafaili, wangekuta anazowala vidampaa.
Linaonekana libasha kabisa hili li baltasar.
Lol ๐๐๐๐๐
Wanaume wanaloaga nini ๐cocastic naona ushalowana kabisa