Umetoka nje kutaka kuchunguza huyo demu ni nani, umbeya huo. Hiyo ya kusema inauma na sijazoea , nimesha isikia kwnye geust moja Kinondoni, tena sio kwamba nilikua ndani nilikua nje na nimepaki gari jirani na dirisha , jamaa alikua ana taka kuruka ukuta kwa demu , sijui kama alifanikiwa.