Guess, kamanda yupi sio raia wa Tanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Guess, kamanda yupi sio raia wa Tanzania!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mwanamayu, Feb 3, 2012.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,409
  Likes Received: 1,725
  Trophy Points: 280
  Fungua picha hii na useme Major yupi wa TPDF sio raia wa Tanzania. Je, sheria inaruhusu raia wa kupewa kuwa kamanda wa jeshi kwa cheo cha juu hivyo?
   

  Attached Files:

 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  utawajuaje?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
 4. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,124
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Si mpaka tuone vyeti vyao vya kuzaliwa? Otherwise mi naona kama ni watanzania tu as long as wamevaa sare za jeshi letu.
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,944
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  Hizi mada zenye guess work kwenye masuala ya muhimu naona hazina tija. Come up with evidence jamaa siyo raia. Vinginevyo hata kama baba na mama yake hawakuwa raia, yeye anaweza kuwa raia kwa kuzaliwa na baadae kuthibitisha kama ni kweli raia. Guessing would not be the right approach.
   
 6. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 988
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kama unacha kutujuza kuhusu hawa makamanda go straight stop dribbling plz - hatukupati
   
 7. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 567
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Jamani hoja nyingine basi tu.......................si useme tu. Mimi nahisi yule wa FFU ndo labda ana utata kwenye uraia wake
   
 8. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  teh teh je ni mrundi au msomali?
   
 9. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Si kweli mkuu,anaweza kuwa muiraqw(Mbulu) au unasemaje?
   
 10. chubulunge

  chubulunge Senior Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona ngumu kumjua mkuu just help us
   
 11. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  hata uraia wa kuomba huwezi kuingia jeshini..., jeshi letu sio kama marekani.., wote raia hao..., na ndo maana fomu za uajiri zinataka useme tarafa, kata, wilaya, mkoa, hospitali uliyozaliwa, etc...., si rahisi hadi mtu afikie cheo cha umeja asigundulike kua ni infiltrator

  Hua inatokea mara chache sana mtu akajipenyeza lakn as days go by hua anagundulika.., hata sisi tunafanya hyo michezo..., ila at a certain stage ana-desert(awol) kule anarudi nyumbani na valuable info
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,575
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  kwani raia ni nani?
   
 13. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,409
  Likes Received: 1,725
  Trophy Points: 280
  You are very smart - one of the two is Mrundi!
   
 14. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #14
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,094
  Likes Received: 398
  Trophy Points: 180
  Upumbavu.com..kuna form four wengi wanasubiri matokeo nahisi mtoa mada ni mmoja wao..ni guess nimekua sheikh yahya..mpssxxxyyy
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 145
  sielewi lengo la mleta mada
   
Loading...