Gudu guju!

acha tujenge taifa,wakiamka na kumaliza watakuja kupaka rangi....
 
acha tujenge taifa,wakiamka na kumaliza watakuja kupaka rangi....

Kwa harakaharaka wamekunywa vinywaji vya aina saba tofauti na wapo mtu 3 tuuu na pengine hawajala chakula cha kueleweka
 
Vijana wanahangaikia kuondokana na umaskini kwa aina yake!
 
Heri yao! Sio wale wajinga wengine ambao wakipiga gambe wanakimbilia uzinzi na kisingizia pombe. Mbona washikaji wamepiga vitu halafu wakapumnzika
 
Mshana jr.
Ingelikuwa ni weye ungelifanyaje? Maisha bora au bora maisha?? Ukimpata mfadhili akanunua hivyo vilabu vyote saba halafu mkaamua kupoteza mawazo ungeomchukia au ungemsifu? Miye sinywi kilevi lakini kama ni njia muafaka kupoteza fahamu angalao siku moja si mbaya. Kila kukicha afadhali ya jana loh! Acha waweke lock kesho wataitoa bila shida
 
Mwanaume unalala chini tena godoro la sufi lakini unagonga masanga ya gharama kubwa...
 
mangatara hawa ni masela tu wa vijiweni wangekuwa na familia na majukumu huu muda wasingepata wallah
 
Last edited by a moderator:
Heri yao! Sio wale wajinga wengine ambao wakipiga gambe wanakimbilia uzinzi na kisingizia pombe. Mbona washikaji wamepiga vitu halafu wakapumnzika

Mh! minjemba mitatu room moja halafu imelewa! utaweza kuta wameshamalizia na haja nyingine hapohapo.
 
happiness is the way you have it boys!! I am happy if they are
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…